LGE2024 CCM Imeshinda kihalali na kuvuna kile ilichopanda, CHADEMA haikujipanga

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kujifanya kichaa kama huyu Lucas Mwashambwa, ambaye dada yake juzi ametuhumiwa kumuua mtoto wa kambo huko Mbeya, inataka kujiondoa ufahamu na aibu kuliko kawaida. Hana anoloona
Yaani huyo kijana ni hamnazo kabisa!
 
Kubalini ukweli kuwa hamkujipanga katika uchaguzi huu na kwamba mnapaswa kujipanga upya hapo mwakani.

Wananchi hawana habari na CHADEMA maana wanajua ni wababaishaji sana.
SiSiEm & CDM wote hamna Kazi..
Hakuna Mapinduzi yeyote.
Mambo yaleyale kila Mwaka
Hakuna Maneno Mageni
Cdm vijembe Tele
Na wala SiSiEm na Cdm siyo wapinzani, Bali ni Maadui.
Everything is clear
 
Aa wapi! Na CCM mnajidanganya. Ingekuwa vyema mkatoa uwanja sawa ndivyo mtajua nguvu yenu ilivyo. Lakini kufanya uhuni wa kuengua wapinzani na bado gao mliowapitisha mnawaibia kura sio jambo zuri. Mnapanda mbegu mbaya sana. Hata kama matokeo yatachelewa lakini yayakuja na itakuwa kilio na kusaga meno. Kama Tanzania ni nchi ya kidemokrasia basi acheni demokrasia ichukuwe mkondo wake. Vinginevyo futeni huo utaratibu!
 
CCM tunapita kihalali na kwa haki.ndio maana unaona wananchi wakishangilia ushindi mitaani kote.
Ndani ya nafsi yake na anachoandika ni tofauti
 

Uhalali wa ushindi uko kwenye jicho la anayetazama. Kama kweli ushindi ni wa halali, basi kheri. Kama ni dhuluma pia na iwe juu ya waliodhulumu.

Kwenye haya maisha, hakuna kitu kibaya kama kujidanganya nafsi maana huwa tunaishia kuumbuka. Hii ina maana toka steps za mwanzo mpaka za mwisho, ukweli utahalalisha lililo halali na utaharamisha lililo haramu. Ukweli huwa hauna tabia ya kufungwa pingu ukaishi jela. Unatabia ya kutokea juu ya paaa

Otherwise, tufurahie weekend inaanza mdogo mdogo. Mengine haya ni mlo wa watu ila wanataka wote tushangilie jinsi wanavyokula
 
Acheni visingizio Dhaifu.mmeshindwa kihalali kwa sababu hamkujiandaa wala kuwa na wagombea wenye ushawishi na kukubalika kwa watu
Kuna rafiki yangu wa karibu namjua jana yeye na wafanyakazi wake mabint wa5 wamepiga kura (ma ccm yalikuja kuwachukua) wakati hawakujiandikisha kupiga kura...hiyo ni sawa?!.
Hiyo imetokea Dodoma Mjn!
 
Kuna rafiki yangu wa karibu namjua jana yeye na wafanyakazi wake mabint wa5 wamepiga kura (ma ccm yalikuja kuwachukua) wakati hawakujiandikisha kupiga kura...hiyo ni sawa?!.
Hiyo imetokea Dodoma Mjn!
Ushahidi upo wapi.lakini pia ndani kuna kuwa na mawakala wa vyama vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…