Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kivipi katiba mpya itaweza kutuendeleza?Katiba mpya ndo suluhu.
Tatizo la Nchi yetu ni mifumo mibovu ambayo yote imejengwa chini ya mtu mmoja ambaye ni Rais aliye juu ya yote.Ki vipi katiba mpya itaweza kutuendeleza ?
Kwani katiba hii ya sasa inazuia uwepo wa vyama makini ?,Tatizo la Nchi yetu ni mifumo mibovu ambayo yote imejengwa chini ya mtu mmoja ambaye ni Rais aliye juu ya yote.
Tatizo liko hapo.
KATIBA mpya itakayompunguzia mamlaka Rais kuamua Kila kitu ndiyo itakayozaa vyama makini, mifumo thabiti ya uwajibikaji, fikra mpya nk nk.
Tuanze na Katiba mpya, mengine yafuate.
Umeuliza swali la kikubwa ila unajibiwa kisharo mnoKwani katiba hii ya sasa inazuia uwepo wa vyama makini ?,
kwani katiba hii ya sasa maamuzi yote ya taifa hili yanafanywa na Rais ? ,
Kwani katiba hii ya sasa inazuia uwajibikaji ?,
Kwani katiba hii ya sasa inazuia fikra mpya ?,
Mwisho, turejee swali utafanya nini ili taifa hili liweze kuendelea baada ya CCM kushindwa ?
Jibu ni Katiba mpya,Kwani katiba hii ya sasa inazuia uwepo wa vyama makini ?,
kwani katiba hii ya sasa maamuzi yote ya taifa hili yanafanywa na Rais ? ,
Kwani katiba hii ya sasa inazuia uwajibikaji ?,
Kwani katiba hii ya sasa inazuia fikra mpya ?,
Mwisho, turejee swali utafanya nini ili taifa hili liweze kuendelea baada ya CCM kushindwa ?
Uzi Hauna vigezo vya kukaa juu.Moderators ombi:
Naomba uzi huu kama mtajali muweke kitufe cha Live na ukae juu nitashukuru sana
Sawa. Ni kwa vipi hiyo katiba mpya itaweza kutuendeleza ?Jibu ni Katiba mpya,
Hakuna chama kitakachotupeleka popote, bila kwanza kurekebisha msingi ambao ni KATIBA.
Majibu yako kwa swali yana maana sana unaweza shirikiBinadamu akijifunga macho akajifanya aoni lolote, "call it a stupid nonsense human"
SawaUzi Hauna vigezo vya kukaa juu.
Umesoma kweli kwa makini uzi ?Mgao wa umeme siku ya Jumapili wananchi wengi wanalaani.
Siku ya wananchi kupumzika nyumbani kwako uangalie TV, ulale uwadze AC, utengeneze Juisi uipendayo lakini umeme hakuna.
Serikali ya CCM hali hii inajenga chuki kubwa kwenu.
Ktk siku zote mnaona ni Sawa kukatia wananchi umeme alfajiri hadi usiku ?
Jumapili ni siku ya pekee wengi huwa majumbani kupimzika.
Tatizo ni kubwa zaidi ya swali lako, mana ccm imefanya ugaidi wa kisiada na inaendelea kuufanya. ccm imevunja miguu vyama vyote kiasi kwamba wanatembelea magongo.Huu ni mtihani rasmi wa uongozi wa umma humu JF.
Sote tuna kubaliana kuwa chama cha mapinduzi (CCM ) kimeshindwa kutuendeleza mahali kama taifa tulipaswa kuwa.
Sasa mtihani wa umma unaliza.
• Wewe, chama chako au kikundi chako kinachosema CCM imeshindwa kutuendeleza pindi ukitwaa madaraka utafanya nini ili taifa na watu wake watoke hapa walipo na kufika mahali panapaswa kuwa kama taifa na watu wake(kuendelea) ?
Pitia basi uzi mara ya pili ndio uandikeNi kweli CCM wametupotezea muda na dira kama taifa ila CHADEMA na akina zito watatupoteza kabisa sisi na utaifa wetu. Save this for future.
Twende direct kwenye swali kama unaweza kutoa mwangaza karibuTatizo ni kubwa zaidi ya swali lako, mana ccm imefanya ugaidi wa kisiada na inaendelea kuufanya. ccm imevunja miguu vyama vyote kiasi kwamba wanatembelea magongo.
Sasa ukiuliza swali katika hali hii sijui unataka upewe jibu gani kama sio afadhali huyu mwenye miguu mizima aendelee kutuhudumia.
Kinachotakiwa kwanza ni kuweka tiba ya hao vilema wasimame na kusiwe na rafu zozote, Hapo ndio uje na swali hili.
Ki vipi katiba mpya itaweza kutuendeleza ?