CCM imeshindwa kutuendeleza. Ninyi mkitwaa madaraka mtafanya nini?

CCM imeshindwa kutuendeleza. Ninyi mkitwaa madaraka mtafanya nini?

Tuanze na wananchi ambapo na hao wanachama wa ccm ni sehemu ya nchi... Na hawa wananchi wajue kuwa nchi hii ni yetu sote na watoto na watoto wa watoto wetu.... Na kiongozi yupo kutekeleza matakwa ya wananchi sio yake...hivyo hakuna sababu ya kumhofu na kuona kuwa pasipo chama ama yeye mambo yatasimama...na ikiwa ataona kuwa kiongozi anafanya kinyume na makubaliano yaliyofikiwa na pande zote basi ashuke mara moja.
Kwangu mie sioni sababu ya kiongozi kuja kutamba kuwa nimefanya hiki na kile kama vile pesa katoa katika mfuko wake!, wakati kila siku nakamuliwa kila aina ya kodi...nguvu zangu zinakwisha...yeye ananufaika.

Mwananchi akishaamka akajua kuwa nchi ni yake na kodi ni yake na anahaki ya kujua nini kodi yake imefanya...then atajua ni kiongozi gani anatakiwa kuwa pale na afanye nini na pale atakaposema kile anachokusudia kufanya mwananchi hatopatwa na tashwishwi kumuweka kwenye kiti cha uongozi.
Lakini nikirudi kwa huyu ambae atafanya nini...nadhani sio aseme atafanya nini maana wote wameshasema sana na hakuna walilofanya....natamani yule ambaye atajua kuwa jasho langu halitakiwi kupotea...na ashilikiane na mie kulitumia kwa usahihi...sio kulitafuna peke yake.
Kupitia hilo wazo utafanikisha vipi taifa kuendelea ?
 
Sidhani kama watasema,,,,kwa kuwa wanaogopa kuibiwa mawazo/brand.
Ni sawa na msoja kutoa Kambi za Jeshi....
 
Hao jamaa porojo tupu kinachohitajika ni madaraka pekee

Kama haohao wanaCCM ndiyo wanakuwa wagombea urais huko unategemea kutakuwa na jipya?

BTW:Jana mwandishi wa ITV (Ester Sandai) ame-report habari ya CDM kuhusu wale COVID 19 akiwa kwenye ofisi ileile chakavu huku wenyewe walituambia washahama huko.

 
Tatizo la Nchi yetu ni mifumo mibovu ambayo yote imejengwa chini ya mtu mmoja ambaye ni Rais aliye juu ya yote.

Tatizo liko hapo.

KATIBA mpya itakayompunguzia mamlaka Rais kuamua Kila kitu ndiyo itakayozaa vyama makini, mifumo thabiti ya uwajibikaji, fikra mpya nk nk.

Tuanze na Katiba mpya, mengine yafuate.
Kwani nchi zote ambazo watu wake ni waafrica weusi zinaongozwa na CCM? Waafrica tuna ujinga sana.
 
Hao jamaa porojo tupu kinachohitajika ni madaraka pekee

Kama haohao wanaCCM ndiyo wanakuwa wagombea urais huko unategemea kutakuwa na jipya?

BTW:Jana mwandishi wa ITV (Ester Sandai) ame-report habari ya CDM kuhusu wale COVID 19 akiwa kwenye ofisi ileile chakavu huku wenyewe walituambia washahama huko.

Sawa
 
Back
Top Bottom