CCM imeshindwa kutuendeleza. Ninyi mkitwaa madaraka mtafanya nini?

CCM imeshindwa kutuendeleza. Ninyi mkitwaa madaraka mtafanya nini?

Hii ya sasa ina matundu mengi ambayo yanatumika na watawala kutokuwajibika.
Kuna hitaj la katiba ambayo italazimu viongozi kuwajibika regardless chama kinakuwepo madarakani.
Katiba hii ya sasa inazuia vipi kiongozi kuwajibika ?
 
Twende direct kwenye swali kama unaweza kutoa mwangaza karibu
Swali lako; jibu langu; Ni muujiza kilema(chama hivi pinzani) kukimbia kushindana na ccm mwenye miguu miwili mizima mpaka kutwaa madaraka. Kuuliza huyu kilema akipata muujiza wa kupaa na kutwaa madaraka, cha kwanza ni kujitibia na kama muungwana kutibu wenzake. Jukumu ni wananchi kutambua kwa ujumla wao kuwa wao ndio wenye nchi; sio ccm. Wakisema no iwe no.
 
Swali lako; jibu langu; Ni muujiza kilema(chama hivi pinzani) kukimbia kushindana na ccm mwenye miguu miwili mizima mpaka kutwaa madaraka. Kuuliza hluyu kilema akipata muujiza wa kupaa na kutwaa madaraka, cha kwanza ni kujitibia na kama muungwana kutibu wenzake. Jukumu ni wananchi kutambua kwa ujumla wao kuwa wao ndio wenye nchi; sio ccm. Wakisema no iwe no.
Duuh! Changamoto sana hebu somo upya tena swali
 
C’mon Tanesco ni Sunday leo watu wako majumbani and yet mnakata Umeme! You can understand weekdays siyo Sunday…. It is a common sense thing. PHEW!
Duuh! Tanesco wana uzi wao humu unaweza peleka malalamiko yako huko.

Huu uzi na mambo ya Tanesco wapi na wapi ?!.
 
Kama ccm imeweza kutufikisha hapa hakuna chama kitashindwa. Au mnataka mpewe majibu kisha muige ili mlazimishe kutumia mbinu za wengine huku mkishurutisha kubaki madarakani?
Haya ndio majibu ya swali nililo uliza ? Duuh! changamoto kubwa sana
 
Huu ni mtihani rasmi wa uongozi wa umma humu JF.

Sote tuna kubaliana kuwa chama cha mapinduzi (CCM ) kimeshindwa kutuendeleza mahali kama taifa tulipaswa kuwa.

Sasa mtihani wa umma unaliza.

• Wewe, chama chako au kikundi chako kinachosema CCM imeshindwa kutuendeleza pindi ukitwaa madaraka utafanya nini ili taifa na watu wake watoke hapa walipo na kufika mahali panapaswa kuwa kama taifa na watu wake(kuendelea) ?
Watafanya tofauti na wanavyo fanya CCM !!
That’s it !!
 
Huu ni mtihani rasmi wa uongozi wa umma humu JF.

Sote tuna kubaliana kuwa chama cha mapinduzi (CCM ) kimeshindwa kutuendeleza mahali kama taifa tulipaswa kuwa.

Sasa mtihani wa umma unaliza.

• Wewe, chama chako au kikundi chako kinachosema CCM imeshindwa kutuendeleza pindi ukitwaa madaraka utafanya nini ili taifa na watu wake watoke hapa walipo na kufika mahali panapaswa kuwa kama taifa na watu wake(kuendelea) ?
Mwaka 61, Tanzania ilikuwaje katika sekta zote na mwaka '23 ipoje?,
Barabara
Afya
Maji
Umeme
Elimu
Vyuo
1961 mpaka leo, still taifa bado changa sana, although kulikuwepo na uzembe katika vipindi kadhaa wa kadhaa!
 
Mwaka 61, Tanzania ilikuwaje katika sekta zote na mwaka '23 ipoje?,
Barabara
Afya
Maji
Umeme
Elimu
Vyuo
1961 mpaka leo, still taifa bado changa sana, although kulikuwepo na uzembe katika vipindi kadhaa wa kadhaa!
Umesoma kweli swali mtaalamu ?
 
Swali lako litajibiwa kipindi cha kampeni za uchaguzi kupitia ilani za vyama.sasa hivi sio muda wake.nikama vile unataka kuigilizia majibu.
Mimi nimeuliza swali kama unaweza jibu karibu kama huwezi tungoje wanaoweza
 
Ili taifa lisonge mbele ni kuwapa wananchi elimu inayowafanya wajitambue, others will fall apart.
 
Tuanze na wananchi ambapo na hao wanachama wa ccm ni sehemu ya nchi... Na hawa wananchi wajue kuwa nchi hii ni yetu sote na watoto na watoto wa watoto wetu.... Na kiongozi yupo kutekeleza matakwa ya wananchi sio yake...hivyo hakuna sababu ya kumhofu na kuona kuwa pasipo chama ama yeye mambo yatasimama...na ikiwa ataona kuwa kiongozi anafanya kinyume na makubaliano yaliyofikiwa na pande zote basi ashuke mara moja.
Kwangu mie sioni sababu ya kiongozi kuja kutamba kuwa nimefanya hiki na kile kama vile pesa katoa katika mfuko wake!, wakati kila siku nakamuliwa kila aina ya kodi...nguvu zangu zinakwisha...yeye ananufaika.

Mwananchi akishaamka akajua kuwa nchi ni yake na kodi ni yake na anahaki ya kujua nini kodi yake imefanya...then atajua ni kiongozi gani anatakiwa kuwa pale na afanye nini na pale atakaposema kile anachokusudia kufanya mwananchi hatopatwa na tashwishwi kumuweka kwenye kiti cha uongozi.
Lakini nikirudi kwa huyu ambae atafanya nini...nadhani sio aseme atafanya nini maana wote wameshasema sana na hakuna walilofanya....natamani yule ambaye atajua kuwa jasho langu halitakiwi kupotea...na ashilikiane na mie kulitumia kwa usahihi...sio kulitafuna peke yake.
 
Back
Top Bottom