Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #21
Katiba hii ya sasa inazuia vipi kiongozi kuwajibika ?Hii ya sasa ina matundu mengi ambayo yanatumika na watawala kutokuwajibika.
Kuna hitaj la katiba ambayo italazimu viongozi kuwajibika regardless chama kinakuwepo madarakani.
Umesoma kweli kwa makini uzi ?
Swali lako; jibu langu; Ni muujiza kilema(chama hivi pinzani) kukimbia kushindana na ccm mwenye miguu miwili mizima mpaka kutwaa madaraka. Kuuliza huyu kilema akipata muujiza wa kupaa na kutwaa madaraka, cha kwanza ni kujitibia na kama muungwana kutibu wenzake. Jukumu ni wananchi kutambua kwa ujumla wao kuwa wao ndio wenye nchi; sio ccm. Wakisema no iwe no.Twende direct kwenye swali kama unaweza kutoa mwangaza karibu
SawaNimefanya kuchomekea baada ya kuwa bored sana.
Watu wanachoshwa sana na ukosefu wa huduma ya umeme.
Ipotezee endelea na mada yako.
Duuh! Changamoto sana hebu somo upya tena swaliSwali lako; jibu langu; Ni muujiza kilema(chama hivi pinzani) kukimbia kushindana na ccm mwenye miguu miwili mizima mpaka kutwaa madaraka. Kuuliza hluyu kilema akipata muujiza wa kupaa na kutwaa madaraka, cha kwanza ni kujitibia na kama muungwana kutibu wenzake. Jukumu ni wananchi kutambua kwa ujumla wao kuwa wao ndio wenye nchi; sio ccm. Wakisema no iwe no.
Kama ccm imeweza kutufikisha hapa hakuna chama kitashindwa. Au mnataka mpewe majibu kisha muige ili mlazimishe kutumia mbinu za wengine huku mkishurutisha kubaki madarakani?Twende direct kwenye swali kama unaweza kutoa mwangaza karibu
Duuh! Tanesco wana uzi wao humu unaweza peleka malalamiko yako huko.C’mon Tanesco ni Sunday leo watu wako majumbani and yet mnakata Umeme! You can understand weekdays siyo Sunday…. It is a common sense thing. PHEW!
Haya ndio majibu ya swali nililo uliza ? Duuh! changamoto kubwa sanaKama ccm imeweza kutufikisha hapa hakuna chama kitashindwa. Au mnataka mpewe majibu kisha muige ili mlazimishe kutumia mbinu za wengine huku mkishurutisha kubaki madarakani?
Watafanya tofauti na wanavyo fanya CCM !!Huu ni mtihani rasmi wa uongozi wa umma humu JF.
Sote tuna kubaliana kuwa chama cha mapinduzi (CCM ) kimeshindwa kutuendeleza mahali kama taifa tulipaswa kuwa.
Sasa mtihani wa umma unaliza.
• Wewe, chama chako au kikundi chako kinachosema CCM imeshindwa kutuendeleza pindi ukitwaa madaraka utafanya nini ili taifa na watu wake watoke hapa walipo na kufika mahali panapaswa kuwa kama taifa na watu wake(kuendelea) ?
Huo utofauti sasa ndio uelezee utakao fanya taifa liendelee ?Watafanya tofauti na wanavyo fanya CCM !!
That’s it !!
Mwaka 61, Tanzania ilikuwaje katika sekta zote na mwaka '23 ipoje?,Huu ni mtihani rasmi wa uongozi wa umma humu JF.
Sote tuna kubaliana kuwa chama cha mapinduzi (CCM ) kimeshindwa kutuendeleza mahali kama taifa tulipaswa kuwa.
Sasa mtihani wa umma unaliza.
• Wewe, chama chako au kikundi chako kinachosema CCM imeshindwa kutuendeleza pindi ukitwaa madaraka utafanya nini ili taifa na watu wake watoke hapa walipo na kufika mahali panapaswa kuwa kama taifa na watu wake(kuendelea) ?
Unadhani ukikamata madaraka utaona kuwa katiba ni tatizo? Hata kidogo. Kwanza utatamani isiwepo.Katiba mpya ndo suluhu.
Umesoma kweli swali mtaalamu ?Mwaka 61, Tanzania ilikuwaje katika sekta zote na mwaka '23 ipoje?,
Barabara
Afya
Maji
Umeme
Elimu
Vyuo
1961 mpaka leo, still taifa bado changa sana, although kulikuwepo na uzembe katika vipindi kadhaa wa kadhaa!
Swali lako litajibiwa kipindi cha kampeni za uchaguzi kupitia ilani za vyama.sasa hivi sio muda wake.nikama vile unataka kuigilizia majibu.Huo utofauti sasa ndio uelezee utakao fanya taifa liendelee ?
Mimi nimeuliza swali kama unaweza jibu karibu kama huwezi tungoje wanaowezaSwali lako litajibiwa kipindi cha kampeni za uchaguzi kupitia ilani za vyama.sasa hivi sio muda wake.nikama vile unataka kuigilizia majibu.
Umekuja na marking scheme Nini boss?Haya ndio majibu ya swali nililo uliza ? Duuh! changamoto kubwa sana
HapanaUmekuja na marking scheme Nini boss?