CCM imeshindwa kutuendeleza. Ninyi mkitwaa madaraka mtafanya nini?

Kupitia hilo wazo utafanikisha vipi taifa kuendelea ?
 
Sidhani kama watasema,,,,kwa kuwa wanaogopa kuibiwa mawazo/brand.
Ni sawa na msoja kutoa Kambi za Jeshi....
 
Hao jamaa porojo tupu kinachohitajika ni madaraka pekee

Kama haohao wanaCCM ndiyo wanakuwa wagombea urais huko unategemea kutakuwa na jipya?

BTW:Jana mwandishi wa ITV (Ester Sandai) ame-report habari ya CDM kuhusu wale COVID 19 akiwa kwenye ofisi ileile chakavu huku wenyewe walituambia washahama huko.

 
Kwani nchi zote ambazo watu wake ni waafrica weusi zinaongozwa na CCM? Waafrica tuna ujinga sana.
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…