CCM imewapa ladha zote za uongozi watanzania, kazi kwetu kuchagua radha tuipendayo.

CCM imewapa ladha zote za uongozi watanzania, kazi kwetu kuchagua radha tuipendayo.

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
2,789
Reaction score
4,951
Mpaka sasa CCM imewapitia Radha tofauti tofauti za uongozi watanzania kutoka Kwa viongozi wake. Kutoka radha ya viongozi wenye maamuzi magumu, Radha ya viongozi wakali sana, Radha ya viongozi wapole na Radha nyingine tofauti tofauti.

Ni jukumu letu watanzania kuchagua Radha tuipendayo maana Radha zote zipo ndani ya CCM.

Sioni haja ya upinzani iwapo kama Kila Radha ipo Kwa Chama dume. Baada ya mama tukipata Radha ya uchachu itapendeza sana.
 
Back
Top Bottom