CCM imezindua kituo cha kutoa taarifa za wala rushwa wakati wa uchaguzi. Hawaiamini TAKUKURU?

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole amesema kwamba Chama Cha Mapinduzi kimezindua kituo maalum cha wananchi kutoa taarifa za Uchaguzi kimaadili ili kuwabaini wala na watoa Rushwa, kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020.
 
Chadema muige hili linaweza kuzuia mambo ya lowasa kununua chama na kujisimika kuwa mgombea

Takukuru wana kazi gani? Au ndio hao mmewatumia kwenye siasa chafu, kiasi kwamba mmejua hawana lolote bali na wao ni waendekeza rushwa tu?
 
Naona hukusoma vzr ujumbe wa haraka haraka!🤣🤣 amesema kama wao watapata taarifa na ushahidi ukawepo hafu takukuru wakawa hawajachukua hatua! Basi takukuru husika atakuwa hatoshi.
Maana mwasika wa rushwa akiwapa taarifa takukuru anatuma na kwa chama! Kwahiyo takukuru km umemlinda mtu! Ccm wanachukua hatua ktk ngazi ya uteuzi wako! Kwahiyo mi Nawapongeza CCM maana vita hii niyetu sote! Wapinzani igeni nia njeama hii sio dhambi.
 
Ni nzuri hii
Ccm hoyeeee
 
Takukuru wana kazi gani? Au ndio hao mmewatumia kwenye siasa chafu, kiasi kwamba mmejua hawana lolote bali na wao ni waendekeza rushwa tu?
rushwa inatakiwa kupigwa vita kila kona ndani na nje ya vyama sio kusubiri Takukuru wafike!!! kila chama kiige CCM
 
ccm bila rushwa haiwezi kuwepo...toka M'kiti wao Taifa hadi vifaranga akina Yehova [emoji23]
 
rushwa inatakiwa kupigwa vita kila kona ndani na nje ya vyama sio kusubiri Takukuru wafike!!! kila chama kiige CCM

Bado kuna vyama vina mawazo ya kuiiga ccm?
 
Uadilifu unaanzia ndani ya Chama

Uadilifu na maigizo ni vitu viwili tofauti. Hapo wanaotafutwa ni wale walio nje ya kambi ya jiwe waletewe zengwe. Hapo mgombea aliye kwenye kambi ya jiwe hata atoe rushwa hataguswa.
 
Ushahidi wa rushwa ni mgumu sana kuuthibitisha mahakamani unaweza kumkamata mtu red handed na bado akakushinda ila vyama vinaweza kuchukua hatua bila kusubiri takukuru
 
Back
Top Bottom