CCM imezindua kituo cha kutoa taarifa za wala rushwa wakati wa uchaguzi. Hawaiamini TAKUKURU?

Katika hili la kutamka waziwazi kuwa rushwa haitakiwi ndani ya chama chetu na hilo kama halitoshi, kuamua kufungua kituo cha taarifa pamoja na kuweka wazi mawasiliano ya jinsi ya kutoa taarifa pale vitakapobainika vitendo vya rushwa, NINAUNGA MKONO kwa nguvu na kushukuru chama kwa maamuzi haya muhimu sana katika kutekeleza kivitendo yale tunayoyaamini na kuyahubiri kupitia katiba ya chama, miiko ya chama, imani ya wanachama, na hasa yale ambayo tunaielekeza serikali tuliyoiunda iyatekeleze.

Ufisadi na rushwa vinapingwa kivitendo na kimipango na mikakati ya wazi, sio kwa kudai ..ooh ni ajenda yetu... alafu vitendo vyenu ni tofauti kabisa hadi mnakimbiwa sasa, watu wanataka kufahamu michango yao ya kila mwezi inaenda wapi pamoja na matumizi ya ruzuku, majibu ni oooh...aaaahh... blah blah... kama michango na ruzuku ndio inapigiwa kelele hivyo, ivi kweli mkipewa nchi mapato si yangeisha tungekosa hata daraja la waenda kwa miguu...sembuse flyover

Njooni huku tuwafunze kupambana na ufisadi kivitendo, kusimamia mapato ya kodi za umma na kujenga nchi.
 
NI DANGANYA TOTO TU,MAMBO BADO SANA
 
Subiri mpambano uanze.wako wanaccm wanasema mkakati Ni kukamata wale walio upande tofauti na jpm wanaotamani kugombea.wanauliza mbona tulia acksoni hakamatwi?
 
Katika hili la kutamka waziwazi kuwa rushwa haitakiwi ndani ya chama chetu na hilo kama halitoshi, kuamua kufungua kituo cha taarifa pamoja na kuweka wazi mawasiliano ya jinsi ya kutoa taarifa pale vitakapobainika vitendo vya rushwa, NINAUNGA MKONO kwa nguvu na kushukuru chama kwa maamuzi haya muhimu sana katika kutekeleza kivitendo yale tunayoyaamini na kuyahubiri kupitia katiba ya chama, miiko ya chama, imani ya wanachama, na hasa yale ambayo tunaielekeza serikali tuliyoiunda iyatekeleze.

Ufisadi na rushwa vinapingwa kivitendo na kimipango na mikakati ya wazi, sio kwa kudai ..ooh ni ajenda yetu... alafu vitendo vyenu ni tofauti kabisa hadi mnakimbiwa sasa, watu wanataka kufahamu michango yao ya kila mwezi inaenda wapi pamoja na matumizi ya ruzuku, majibu ni oooh...aaaahh... blah blah... kama michango na ruzuku ndio inapigiwa kelele hivyo, ivi kweli mkipewa nchi mapato si yangeisha tungekosa hata daraja la waenda kwa miguu...sembuse flyover

Njooni huku tuwafunze kupambana na ufisadi kivitendo, kusimamia mapato ya kodi za umma na kujenga nchi.
Hivi kuna MTU mwenye akili anasoma hizi habari zenu naona kama mnapoteza muda
 
Ccm waache maigizo ya kitoto, wao ndio wako wengi bungeni, waifute takukuru kama haiwezi kuzuia rushwa.
 
Uzi umedolola ngoja comrade polepole nikusaidie kujaza jaza comment.
 
Katika hili la kutamka waziwazi kuwa rushwa haitakiwi ndani ya chama chetu na hilo kama halitoshi, kuamua kufungua kituo cha taarifa pamoja na kuweka wazi mawasiliano ya jinsi ya kutoa taarifa pale vitakapobainika vitendo vya rushwa, NINAUNGA MKONO kwa nguvu na kushukuru chama kwa maamuzi haya muhimu sana katika kutekeleza kivitendo yale tunayoyaamini na kuyahubiri kupitia katiba ya chama, miiko ya chama, imani ya wanachama, na hasa yale ambayo tunaielekeza serikali tuliyoiunda iyatekeleze.

Ufisadi na rushwa vinapingwa kivitendo na kimipango na mikakati ya wazi, sio kwa kudai ..ooh ni ajenda yetu... alafu vitendo vyenu ni tofauti kabisa hadi mnakimbiwa sasa, watu wanataka kufahamu michango yao ya kila mwezi inaenda wapi pamoja na matumizi ya ruzuku, majibu ni oooh...aaaahh... blah blah... kama michango na ruzuku ndio inapigiwa kelele hivyo, ivi kweli mkipewa nchi mapato si yangeisha tungekosa hata daraja la waenda kwa miguu...sembuse flyover

Njooni huku tuwafunze kupambana na ufisadi kivitendo, kusimamia mapato ya kodi za umma na kujenga nchi.
Bila hongo Ccm haina wapiga kura..
Vyama halali vya upinzani huwa wana pewa kura halali bila hongo. Kwa kuangalia tuu angalia ni wangapi upinzani wana shikiliwa na TAKUKURU kwa shutuma za hongo
 
Back
Top Bottom