Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
hayo mambo ya mkewake sie hayatuhusuTabia ya Mwijaku Toka Kitambo inajulikana.
Mpaka lini CCM itaendelea kua FICHIO LA WATENDA WA MAOVU???.
Yan watenda Maovu ndio wanalibeba Jina la CCM na kumtangaza Mwenyekiti wa CCM????.
Kwa Nchi zenye kufata misingi ya Demokrasia, Hilo tu ,linatosha Kwa Chama CCM kutoka hadharani kumkemea na kumfuta Uanachama Mtu aina ya Mwijaku.
Kwa matope mlonayo kichwan, ni ngumu Kwa CCM kuliona Hilo.hayo mambo ya mkewake sie hayatuhusu
Kamati ya maadili ya chadema imjadili kiongozi huyu na ikiwezekana afutwe uanachama kwa kukosa maadili baada ya kuonyesha ishara za mapenzi hadharini 🐒Tabia ya Mwijaku Toka Kitambo inajulikana.
Mpaka lini CCM itaendelea kua FICHIO LA WATENDA WA MAOVU???.
Yan watenda Maovu ndio wanalibeba Jina la CCM na kumtangaza Mwenyekiti wa CCM????.
Kwa Nchi zenye kufata misingi ya Demokrasia, Hilo tu ,linatosha Kwa Chama CCM kutoka hadharani kumkemea na kumfuta Uanachama Mtu aina ya Mwijaku.
Kwani kuna tatizo kula denda la mkeo?Kamati ya maadili ya chadema imjadili kiongozi huyu na ikiwezekana afutwe uanachama kwa kukosa maadili baada ya kuonyesha ishara za mapenzi hadharini 🐒
inatuhusu nini wadau tusio husika na mkeo gentleman 🐒Kwani kuna tatizo kula denda la mkeo?
'Kiina' ndiyo nini tena! Yaani taarifa rasmi ya mkuu wa chuo kinachoheshimika zaidi nchini inakuja na typos?!Huyu chawa amesababisha uongozi wa chuo kuanza maandalizi ya kuwatimua hao mabintiView attachment 3310424
Sio sahihi, hatuwez mwachia yeye Kwa namna anavyojitanabaisha Ndani ya Nchi hii
HehehehTabia ya Mwijaku Toka Kitambo inajulikana.
Mpaka lini CCM itaendelea kua FICHIO LA WATENDA WA MAOVU???.
Yan watenda Maovu ndio wanalibeba Jina la CCM na kumtangaza Mwenyekiti wa CCM????.
Kwa Nchi zenye kufata misingi ya Demokrasia, Hilo tu ,linatosha Kwa Chama CCM kutoka hadharani kumkemea na kumfuta Uanachama Mtu aina ya Mwijaku.
Na nitukio la kutengenezwaKazi ya mwijasku ni KIKI hivyo hilo tukio linaendelwa kumuweka mjini.
Inakuwaje watanzania wenye akili mnakuwa busy na mwijaku ? Yule ni msanii.
😡