The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Michezo ya ccm hio
Ccm sio taasisi ya diniTabia ya Mwijaku Toka Kitambo inajulikana.
Mpaka lini CCM itaendelea kua FICHIO LA WATENDA WA MAOVU???.
Yan watenda Maovu ndio wanalibeba Jina la CCM na kumtangaza Mwenyekiti wa CCM????.
Kwa Nchi zenye kufata misingi ya Demokrasia, Hilo tu ,linatosha Kwa Chama CCM kutoka hadharani kumkemea na kumfuta Uanachama Mtu aina ya Mwijaku.
Naona ulazimisha watu waunge mkono uchafu wako.