Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Naona ulazimisha watu waunge mkono uchafu wako.

Hostel za wanafunzi wa vyuo wa kike ni madanguro tuHuyu chawa amesababisha uongozi wa chuo kuanza maandalizi ya kuwatimua hao mabintiView attachment 3310424
Tabia ya Mwijaku Toka Kitambo inajulikana.
Mpaka lini CCM itaendelea kua FICHIO LA WATENDA WA MAOVU???.
Yan watenda Maovu ndio wanalibeba Jina la CCM na kumtangaza Mwenyekiti wa CCM????.
Kwa Nchi zenye kufata misingi ya Demokrasia, Hilo tu ,linatosha Kwa Chama CCM kutoka hadharani kumkemea na kumfuta Uanachama Mtu aina ya Mwijaku.
Mnamuonea bure huyu chawa. Kwani, ccm hawadhallilisha taifa tofauti na huyu anayejidhalilisha?Tabia ya Mwijaku Toka Kitambo inajulikana.
Mpaka lini CCM itaendelea kua FICHIO LA WATENDA WA MAOVU???.
Yan watenda Maovu ndio wanalibeba Jina la CCM na kumtangaza Mwenyekiti wa CCM????.
Kwa Nchi zenye kufata misingi ya Demokrasia, Hilo tu ,linatosha Kwa Chama CCM kutoka hadharani kumkemea na kumfuta Uanachama Mtu aina ya Mwijaku.
Aibu sanaHostel za wanafunzi wa vyuo wa kike ni madanguro tu
Ova
Walishindwa kumfuta uanachama aliyetaka kumuua Mangula badala yake wakamfukuza Membe leo ndio watamuweza Mwijaku ambaye hakuwepo hata eneo la tukio?Tabia ya Mwijaku Toka Kitambo inajulikana.
Mpaka lini CCM itaendelea kua FICHIO LA WATENDA WA MAOVU???.
Yan watenda Maovu ndio wanalibeba Jina la CCM na kumtangaza Mwenyekiti wa CCM????.
Kwa Nchi zenye kufata misingi ya Demokrasia, Hilo tu ,linatosha Kwa Chama CCM kutoka hadharani kumkemea na kumfuta Uanachama Mtu aina ya Mwijaku.
Kuna yule Waziri aliye sababisha kifo cha mchepuko wake ambaye alikuwa mwanachuo pale Dodoma mbona hakufukuzwa?Tabia ya Mwijaku Toka Kitambo inajulikana.
Mpaka lini CCM itaendelea kua FICHIO LA WATENDA WA MAOVU???.
Yan watenda Maovu ndio wanalibeba Jina la CCM na kumtangaza Mwenyekiti wa CCM????.
Kwa Nchi zenye kufata misingi ya Demokrasia, Hilo tu ,linatosha Kwa Chama CCM kutoka hadharani kumkemea na kumfuta Uanachama Mtu aina ya Mwijaku.
Kwa hakika kua Mwanaccm ni lazima ujivue ufahamu.Suala la Mwijaku sio la kisiasa hivyo hawezi kuchukuliwa hatua yoyote na CCM. Hajavunja popote katiba ya CCM. Hata kwenye ahadi za mwanaCCM hakuna ahadi ya kutogonga mademu.
Hamuoni Kosa?Kosa lake liko wapi hapo?.
Ndio sema kosa lake liko wapi.Hamuoni Kosa?