CCM imfute Uanachama Mwijaku Kwa kusababisha Udhalilishaji na Unyanyasaji

Suala la Mwijaku sio la kisiasa hivyo hawezi kuchukuliwa hatua yoyote na CCM. Hajavunja popote katiba ya CCM. Hata kwenye ahadi za mwanaCCM hakuna ahadi ya kutogonga mademu.
 
 
Wekeni hiyo video ya mwijaku tuione kwanza... Hatuelewi ilikuwaje bhana
 
Ile video mahakamani anaruka tu. Ipo kipashkuna to as told stories. Kosa litabakia kwao kwa kumpiga mwenzao.
Mwijaku angekua pale hostel angekamatika.
Pale hakamatiki mjomba
 
Mnamuonea bure huyu chawa. Kwani, ccm hawadhallilisha taifa tofauti na huyu anayejidhalilisha?
 
Ngoja nikae kimya mwanasheria wangu yupo likizo
 
Walishindwa kumfuta uanachama aliyetaka kumuua Mangula badala yake wakamfukuza Membe leo ndio watamuweza Mwijaku ambaye hakuwepo hata eneo la tukio?
 
Kuna yule Waziri aliye sababisha kifo cha mchepuko wake ambaye alikuwa mwanachuo pale Dodoma mbona hakufukuzwa?
 
Mtegemee azidi kupewa kazi za ubalozi 😄 na bungeni ataalikwa tena....
Nchi hii viongozi huenjoy sana mambo ya ufuska ufuskaaa

Ova
 
Na katoka juzi kuhiji hija yake ni batili labda kama alienda kutafuta views
 
Kama kwa kigezo hicho atabakia nani ccm.
Mtu akishakuwa na nafasi au madaraka kwa mwanaume kifuatacho ni uzinzi anataka awamalize wanawake wote.
Kwa mwanamke cha kwanza atakachofanya ni kuivunja ndoa yake.
 
Suala la Mwijaku sio la kisiasa hivyo hawezi kuchukuliwa hatua yoyote na CCM. Hajavunja popote katiba ya CCM. Hata kwenye ahadi za mwanaCCM hakuna ahadi ya kutogonga mademu.
Kwa hakika kua Mwanaccm ni lazima ujivue ufahamu.
 
wanamfutaje hivi duniani kuna majitu mazinzi na mafirauni kama masiisiiiemu? kwao hizo sunna hukumbuki yule naibu waziri wao aliua kabinti ka chuo mipolisi ikatumika kuficha ule usengerema ikaw ndio mwisho wa kitot cha watu.
 
Huyo jamaa huwa simuelewagi unakuta anaenda maka kupapasa jiwe na kubusu akirudi ni kicheche,anabet,uchafu wote anafanya,hivi waislam wenzao kwanini wapo kimya kumsema anachezea din yao??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…