CCM imvue Uanachama na Kumfukuza Kabisa Humphrey Polepole ili Asiendelee kutumia Jina la Chama Kwa Maslahi yake

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania

Kama kuna kitu CCM inapaswa kuchukua hatua za haraka kwa kipindi na wakati huu. Ni kumvua uanachama pamoja na kumfukuza au kumtimua haraka sana Humphrey Polepole kutoka ndani ya CCM. Anapaswa kufurushwa bila huruma wala subira wala ngoja ngoja.

Kwa sababu huyu mtu hana mapenzi mema na CCM,amekiuka na kuvunja kanuni , taratibu,miongozo na katiba ya CCM kwa makusudi kabisa kwa maslahi yake binafsi na kikundi kinachomtumia . Amekuwa akikidhalilsha,kukichafua na kuharibu taswira nzuri ya CCM.

Amechafua chama na anaendelea kukichafua chama pamoja na viongozi wetu. Amekuwa akiwashushia heshima viongozi mbalimbali wa chama na serikali kwa kuwazushia tuhuma zisizo na uthibitisho wala ukweli wa aina yoyote ile zaidi ya kuwachafua ,kuwapaka matope ,kuleta uchonganishi na kutaka kujenga chuki ndani ya Taifa letu.

Ni wakati wa kumfukuza uanachama na kumuondosha chamani ili iwe marufuku na akome kabisa kutumia jina la chama kwa kujinathibisha na CCM na kujifanya anazungumza kama mwanachama wa CCM. Itakuwa ni Makosa makubwa sana kwa CCM kuendelea kumuacha kama mwanachama wa CCM. afukuzwe haraka sana bila kucheleweshwa.
Screenshot_20250510-233929_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania

Kama kuna kitu CCM inapaswa kuchukua hatua za haraka kwa kipindi na wakati huu. Ni kumvua uanachama pamoja na kumfukuza au kumtimua haraka sana Humphrey Polepole kutoka ndani ya CCM. Anapaswa kufurushwa bila huruma wala subira wala ngoja ngoja.

Kwa sababu huyu mtu hana mapenzi mema na CCM,amekiuka na kuvunja kanuni , taratibu,miongozo na katiba ya CCM kwa makusudi kabisa kwa maslahi yake binafsi na kikundi kinachomtumia . Amekuwa akikidhalilsha,kukichafua na kuharibu taswira nzuri ya CCM.

Amechafua chama na anaendelea kukichafua chama pamoja na viongozi wetu. Amekuwa akiwashushia heshima viongozi mbalimbali wa chama na serikali kwa kuwazushia tuhuma zisizo na uthibitisho wala ukweli wa aina yoyote ile zaidi ya kuwachafua ,kuwapaka matope ,kuleta uchonganishi na kutaka kujenga chuki ndani ya Taifa letu.

Ni wakati wa kumfukuza uanachama na kumuondosha chamani ili iwe marufuku na akome kabisa kutumia jina la chama kwa kujinathibisha na CCM na kujifanya anazungumza kama mwanachama wa CCM. Itakuwa ni Makosa makubwa sana kwa CCM kuendelea kumuacha kama mwanachama wa CCM. afukuzwe haraka sana bila kucheleweshwa.View attachment 3432718

Vp yule aliyejipitisha ugombea Urais bila kushindanshwa, yeye yuko sahihi?
 
Umekijua chama juzi juzi 2015 saiv unalopoka unatia aibu na kizazi Chako kwa ujumla
 
Vp yule aliyejipitisha ugombea Urais bila kushindanshwa, yeye yuko sahihi?
Hakuna mgombea wa Urais aliyejipitisha yeye binafsi ndani ya CCM. Bali CCM kupitia mkutano Mkuu wake ndio Imempitisha na kumuidhinisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kuwa Mgombea wake atakaye peperusha Bendera ya CCM katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwishoni Mwa Mwaka huu
 
Ndugu zangu Watanzania

Kama kuna kitu CCM inapaswa kuchukua hatua za haraka kwa kipindi na wakati huu. Ni kumvua uanachama pamoja na kumfukuza au kumtimua haraka sana Humphrey Polepole kutoka ndani ya CCM. Anapaswa kufurushwa bila huruma wala subira wala ngoja ngoja.

Kwa sababu huyu mtu hana mapenzi mema na CCM,amekiuka na kuvunja kanuni , taratibu,miongozo na katiba ya CCM kwa makusudi kabisa kwa maslahi yake binafsi na kikundi kinachomtumia . Amekuwa akikidhalilsha,kukichafua na kuharibu taswira nzuri ya CCM.

Amechafua chama na anaendelea kukichafua chama pamoja na viongozi wetu. Amekuwa akiwashushia heshima viongozi mbalimbali wa chama na serikali kwa kuwazushia tuhuma zisizo na uthibitisho wala ukweli wa aina yoyote ile zaidi ya kuwachafua ,kuwapaka matope ,kuleta uchonganishi na kutaka kujenga chuki ndani ya Taifa letu.

Ni wakati wa kumfukuza uanachama na kumuondosha chamani ili iwe marufuku na akome kabisa kutumia jina la chama kwa kujinathibisha na CCM na kujifanya anazungumza kama mwanachama wa CCM. Itakuwa ni Makosa makubwa sana kwa CCM kuendelea kumuacha kama mwanachama wa CCM. afukuzwe haraka sana bila kucheleweshwa.View attachment 3432718

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Polepole kakusokomezeni jiti lenye miba kila mkigeuka linazidi kuwaumiza hadi mnabweka ovyo kama mna kichaa cha mbwa vile.
 
Hakuna mgombea wa Urais aliyejipitisha yeye binafsi ndani ya CCM. Bali CCM kupitia mkutano Mkuu wake ndio Imempitisha na kumuidhinisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kuwa Mgombea wake atakaye peperusha Bendera ya CCM katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwishoni Mwa Mwaka huu
Form alichukua lini na alishindanishwa na nani?
 
Ndugu zangu Watanzania

Kama kuna kitu CCM inapaswa kuchukua hatua za haraka kwa kipindi na wakati huu. Ni kumvua uanachama pamoja na kumfukuza au kumtimua haraka sana Humphrey Polepole kutoka ndani ya CCM. Anapaswa kufurushwa bila huruma wala subira wala ngoja ngoja.

Kwa sababu huyu mtu hana mapenzi mema na CCM,amekiuka na kuvunja kanuni , taratibu,miongozo na katiba ya CCM kwa makusudi kabisa kwa maslahi yake binafsi na kikundi kinachomtumia . Amekuwa akikidhalilsha,kukichafua na kuharibu taswira nzuri ya CCM.

Amechafua chama na anaendelea kukichafua chama pamoja na viongozi wetu. Amekuwa akiwashushia heshima viongozi mbalimbali wa chama na serikali kwa kuwazushia tuhuma zisizo na uthibitisho wala ukweli wa aina yoyote ile zaidi ya kuwachafua ,kuwapaka matope ,kuleta uchonganishi na kutaka kujenga chuki ndani ya Taifa letu.

Ni wakati wa kumfukuza uanachama na kumuondosha chamani ili iwe marufuku na akome kabisa kutumia jina la chama kwa kujinathibisha na CCM na kujifanya anazungumza kama mwanachama wa CCM. Itakuwa ni Makosa makubwa sana kwa CCM kuendelea kumuacha kama mwanachama wa CCM. afukuzwe haraka sana bila kucheleweshwa.View attachment 3432718

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi wewe unatokea mkoa gani hapo TZ ? Your homeland

Mimi kwetu ni Kilimanjaro….. wewe asili yako ni mkoa gani ?
 
Back
Top Bottom