CCM imvue Uanachama na Kumfukuza Kabisa Humphrey Polepole ili Asiendelee kutumia Jina la Chama Kwa Maslahi yake

CCM imvue Uanachama na Kumfukuza Kabisa Humphrey Polepole ili Asiendelee kutumia Jina la Chama Kwa Maslahi yake

Kwanini nyie msijivue mkamuachia chama Polepole?
 
Huu uchawa huu, ni promax. Kujipendekeza kwa kiwango hiki ni zaidi ya kuendekeza njaa.
 
CCM ni chama chenye kuongozwa na wenye akili Timamu. Usifikirie kuwa hata vichaa au wendawazimu wanaweza kuongoza CCM
😹😹😹 Sio wahuni?
Ila katika watu wanaojitahidi kutotumia akili ipasavyo kaka Luca unajitahidi..!!
 
Mtaondoka CCM lakini polepole atabaki CCM ina watunza Itifaki kama kumuelewa Rostam basi
 
Back
Top Bottom