johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kimsingi kwa mfumo wetu wa siasa serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM.
Lakini Chadema wanaonekana kuwa na maarifa zaidi hasa baada ya sakata la Sabaya na sasa hili la kesi la viongozi 7 akiwemo DC Mashinji wa CCM.
Kiufupi CCM wanapaswa kuwa makini zaidi kabla hawajajikuta ni chama cha maigizo ( Waigizaji)
Amani na iwe kwenu!
Kimsingi ccm sio chama cha kizazi hiki, ndio maana kinatumia nguvu zaidi kuliko ushawishi kubaki madarakani. Hapo ilipo ccm inategemea mabavu tena yasiyo na mvuto, na huko tuendako ccm itatoka kwa machafuko.Chadema wana maarifa gani?
Ukiombwa chama chenye maarifa utapeleka Chadema? Aisee.
Hata Magu mwanzoni mlisema anatekeleza sera za chademaMpaka sasa Chadema 3- Ccm 0
Hoja zote za tundu lissu kwenye uchaguzi 2020 ndio Sera za Samia 2020-2025
Wewe!Kimsingi ccm sio chama cha kizazi hiki, ndio maana kinatumia nguvu zaidi kuliko ushawishi kubaki madarakani. Hapo ilipo ccm inategemea mabavu tena yasiyo na mvuto, na huko tuendako ccm itatoka kwa machafuko.
Chadema ina maarifa lakini imeshindwa kuwashawishi wananchi waikubaliKimsingi kwa mfumo wetu wa siasa serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM.
Lakini Chadema wanaonekana kuwa na maarifa zaidi hasa baada ya sakata la Sabaya na sasa hili la kesi la viongozi 7 akiwemo DC Mashinji wa CCM.
Kiufupi CCM wanapaswa kuwa makini zaidi kabla hawajajikuta ni chama cha maigizo ( Waigizaji)
Amani na iwe kwenu!
Ameunga juhudiBwashee vp bhana mpk tunapata wasiwasi
Jombaa kabla ya kuchangia hii kitu yako! Kwanza ninaomba utudadavulie maana ya maarifa na maana ya nguvu kwa mfumo wa kitaasisi..Kimsingi kwa mfumo wetu wa siasa serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM.