CCM ina nguvu lakini CHADEMA ina maarifa; watawala wanapaswa kuwa makini

Kwahiyo sabaya yupo romande kwa sababu ya chadema?????
Watanzania ni watu wa hovyo sanaa?
Sitaki kuamini kwamba NDUGAI alistahili kuwa speaker wa bunge la DARUSO enzi zile 2000s?
 
Baptist ukikuwa wapi?

Ok hayo maarifa yao yamewasaidia kufanikisha kitu gani?
Kufanikisha uwepo wao katikati ya nguvu za serekali, majeshi, bunge na dola vilivyotaka kuifuta lakini wakashindwa
 

Kwa taarifa yako huyo mama hiyo ni roho yake wala usitake kumchanganya na tabia za kiccm. Kama ingekuwa ccm ina ushawishi wa hivyo, msingeruhusu dhalimu atumie tabia zake za kishenzi kuiendesha hiyo ccm. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea lile jitu liovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…