Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Wadau wote ni mashahidi CCM ina vyuo vya uongozi toka enzi ya hayati baba wa taifa. Vyuo hivyo ilikuwa ni kuandaa viongozi wa kushika nyadhifa mbalimbali kama vile u-DC n.K
Siku hizi utaratibu huo haupo licha ya vyuo kuendelea kutoa wahitimu lakini hawapewi nyadhifa badala yake wanapewa nyadhifa wasanii, ili mradi tu wametunga nyimbo za kuwasifia watawala.
Toka imeingia awamu ya 5 tumeshuhudia CCM ikiwanunua wapinzani na kuwapa uwaziri, ukuu wa mikoa ukuu wa wilaya na ukurugenzi wa halmashauri na ubunge kama vile halima na kundi lake huku wakiwa hawajapita kwenye vyuo vya chama vya uongozi kujifunza masuala ya CCM.
Ni ushahidi mzuri kuwa upinzani hawa vyuo lakini wana viongozi ambao CCM inawahitaji.
Hongera wapinzani kwa kuaminiwa na CCM kuwaongoza.