Hawa kina lowasa, sumaye au unaongelea kina kitila, waitara...Hongera wapinzani kwa kuaminiwa na CCM kuwaongoza.
They were all ccm members before crossing to the opposition.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa kina lowasa, sumaye au unaongelea kina kitila, waitara...Hongera wapinzani kwa kuaminiwa na CCM kuwaongoza.
Nilikuwa nakuona kama unaweza kutafakari mambo kwa upana wake lakini kwa hicho ulichoandika,hata u-koplo wa "mgambo" haufai.Hakuna mtanzania asiyekuwa CCM,Ikiwa umezaliwa,na kusoma Tanzania,hata kama chekechea.Uliyofundishwa shule ni mitaala ya CCM,itakuwaje useme wewe sio CCM.
Peleka ulevi wako wa 'vitoko' mbali,Kila aliyezaliwa na kusoma shule za Tanzania,hata chekechea,ni CCM,usome mitaala ya CCM,shule,halafu useme sio CCM.
CCM,ilizaliwa kutoka TANU,na TANU ilizaliwa kutoka TAA,TAA ilikuwako toka ukoloni,TANU ilikuwako toka Ukoloni,unakwepa wapi hapo,usiwe CCM.Ngoja tukujibu sawa na ujinga wako. Ccm imeanzishwa mwaka 1977. Mie mwenye niliyesoma elimu ya ukoloni je naingiaje kwenye hiyo inclusion yako ya kiwenda wazimu
Hakuna mtanzania asiyekuwa CCM,Ikiwa umezaliwa,na kusoma Tanzania,hata kama chekechea.Uliyofundishwa shule ni mitaala ya CCM,itakuwaje useme wewe sio CCM.