Ccm inadumu kutawala kwa kukandamiza upinzani

Ccm inadumu kutawala kwa kukandamiza upinzani

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
Ni miaka yote ila imejidhihirisha sana awamu hii kwamba tegemeo kubwa la ccm kuendelea kutawala ni kukandamiza upinzani.

Suruhu ya hilo ni moja , nguvu ya Umma. Umma utakapokua tayari CCM ndipo wataondoka kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom