Lord denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 15,819 Reaction score 33,255 Feb 25, 2025 Thread starter #61 Chinchiler said: Hiyo mbinu ya kijeshi PORINI hutakiw kupendeza unatakiwa ufanane na JANGIRI UNAWAJUWA MAJANGIRI WW AU unazani JANGIRI anayeenda kuimba pembe za farunna meno ya Tembo anafanana na panya road wa mikoa yenu Click to expand... Ndo wavalishwe mabuti ya wakulima? Hawana hela za kununulia mabuti ya kijeshi? Ndo wavalishwe manguo oversize?
Chinchiler said: Hiyo mbinu ya kijeshi PORINI hutakiw kupendeza unatakiwa ufanane na JANGIRI UNAWAJUWA MAJANGIRI WW AU unazani JANGIRI anayeenda kuimba pembe za farunna meno ya Tembo anafanana na panya road wa mikoa yenu Click to expand... Ndo wavalishwe mabuti ya wakulima? Hawana hela za kununulia mabuti ya kijeshi? Ndo wavalishwe manguo oversize?
brokenagges Member Joined Sep 29, 2022 Posts 58 Reaction score 33 Feb 25, 2025 #62 Lord denning said: Inaonekana unasumbuliwa na ushamba pamoja na kukosa exposure Click to expand... huoni kama unazidi kuharibu/kukoroga mada?
Lord denning said: Inaonekana unasumbuliwa na ushamba pamoja na kukosa exposure Click to expand... huoni kama unazidi kuharibu/kukoroga mada?