CCM inakuwaje Askari wetu wa Uhifadhi wanakosa nguo na vifaa vya uhakika hadi kufikia kuvaa kama vikosi vya Waasi/ Askari wa DRC?

CCM inakuwaje Askari wetu wa Uhifadhi wanakosa nguo na vifaa vya uhakika hadi kufikia kuvaa kama vikosi vya Waasi/ Askari wa DRC?

Hiyo mbinu ya kijeshi PORINI hutakiw kupendeza unatakiwa ufanane na JANGIRI UNAWAJUWA MAJANGIRI WW AU unazani JANGIRI anayeenda kuimba pembe za farunna meno ya Tembo anafanana na panya road wa mikoa yenu
Ndo wavalishwe mabuti ya wakulima? Hawana hela za kununulia mabuti ya kijeshi? Ndo wavalishwe manguo oversize?
 
Back
Top Bottom