mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sawa.si walilipwa fadhila ?unadhani nape ana uwezo wa kuwa waziri.si kubebana tu..Wameitumikia ccm kwa Miaka yote
Haya sawa umebebwa unamtekenya aliyekubeba nani atakuvumilia?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.si walilipwa fadhila ?unadhani nape ana uwezo wa kuwa waziri.si kubebana tu..Wameitumikia ccm kwa Miaka yote
HahahaaSawa.si walilipwa fadhila ?unadhani nape ana uwezo wa kuwa waziri.si kubebana tu..
Haya sawa umebebwa unamtekenya aliyekubeba nani atakuvumilia?.
Sasa mjinga si mjinga tu! Nilisoma mahali F4 alilamba F kama zoteSawa.si walilipwa fadhila ?unadhani nape ana uwezo wa kuwa waziri.si kubebana tu..
Haya sawa umebebwa unamtekenya aliyekubeba nani atakuvumilia?.
Vipi kuhusu UDP. Ishawahi kuwa na mwenyekiti nje ya John Cheyo?CCM siyo Chadema ambako Mbowe ni Mwenyekiti wa kudumu 😀
Tembo wamekuwa wengi sana huko kwenye hifadhi hadi wanavamia mashamba na makazi ya binaadamu, nafikiri solution ya tatizo hili imepatikana.CCM siyo Chadema ambako Mbowe ni Mwenyekiti wa kudumu 😀
Unachekesha ujueKwa hiyo wafanya biashara woote lazima wapitie ccm?
Umuhimu unazidianakila mtu ana umuhimu hapa duniani, angekuwa kafa je, ungesema afufuke maana ccm bado inamuhitaji?
hamna kitu ni kupaishana tu, maisha lazima yaendelee kuna watu wanya fikra chanya kuliko huyo jangili mara 188Umuhimu unazidiana
Ni uzushi tu, ukweli ni kwamba Kinana kafukuzwa kwenye umakamu mwenyekiti.Mwenye barua ya kujiuzulu kwa Cde Kinana anitumie!
2015
Mtu kama alikua ana staarf mnamrudisha inamaana mnauhitaji nae sana.Wakati mwingine muache kuongea msivyovijua. Hisia tu unaanza kuandika. CCM sasa haimuhitaji Kinana ila Kinana ndiye anaihitaji CCM ili biashara zake zisikwame.
Unamwita jangili kwa uhakika au unasikia sikia tuhamna kitu ni kupaishana tu, maisha lazima yaendelee kuna watu wanya fikra chanya kuliko huyo jangili mara 188
Ndio hapo sasa. Ukiona kijana amepata nafasi ndani ya ccm ni kwa sababu tu ni mtoto wa familia yao. Sio kwa sababu ana uwezoMtu kama alikua ana staarf mnamrudisha inamaana mnauhitaji nae sana.
Usikaze kichwa CCM haijawah kuamini katika rasilimali vijana ilio nao huo ndio ukweli..so bado inamhitaji KINANA na sio wewe Na kadi yako.
Ilishinda kwani kulikuwa na Uchaguzi au ujambazi ule.Mwaka 2020 CCM ilishinda bila Kinana na genge lake