Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
CCM haina ubaguzi, wa sijui maskini au tajiri, mkristo au muislamu, mwanamume au mwanamke, mweusi au mweupe. Binadamu na Wanachama wote wa CCM ni sawa...Mara nyingi huwa nawasikia viongozi wa CCM wakijinasibu kuwa chama chao ni chama cha maskini na wanyonge.
Kama CCM ni chama cha maskini na wanyonge, jee viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo??
Inaongozwa na waliokuwa Wanyonge baadaye wakageuka Matajiri baada ya kuwanyonga Wanyonge wenzao ambao sasa siyo wenzao tena!Mara nyingi huwa nawasikia viongozi wa CCM wakijinasibu kuwa chama chao ni chama cha maskini na wanyonge.
Kama CCM ni chama cha maskini na wanyonge, jee viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo??
Wewe utakuwa chipukizi, subiri ukue utaelewa!CCM haina ubaguzi, wa sijui maskini au tajiri, mkristo au muislamu, mwanamume au mwanamke, mweusi au mweupe. Binadamu na Wanachama wote wa CCM ni sawa...
Hilo la ubaguzi linabaki suala binafsi lako au kwa anaejibambanua hivyo...
yes,
Ndio, isipokuwa wachache.Mara nyingi huwa nawasikia viongozi wa CCM wakijinasibu kuwa chama chao ni chama cha maskini na wanyonge.
Kama CCM ni chama cha maskini na wanyonge, jee viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo??
Wapenda sifa na kuandikwa mitandaoni na kupogwa picha hawana lengo zuri na hili Taifa.Mara nyingi huwa nawasikia viongozi wa CCM wakijinasibu kuwa chama chao ni chama cha maskini na wanyonge.
Kama CCM ni chama cha maskini na wanyonge, jee viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo??
Wanasiasa wa Tanzania wote ni Maskini Ndio sababu hapo Chadema mnaishi kwa Ruzuku ya serikali ๐Wana maanisha kuwa wanachama wao ni misukule a. K.a chawa au mende
Cc ChoiceVariable
johnthebaddest
NA utaona kuwa kichwani wamejaza mbolea wakisoma hii post watatukana
Hayo ni maneno yako usiwalishe chama makini km CCM.Mara nyingi huwa nawasikia viongozi wa CCM wakijinasibu kuwa chama chao ni chama cha maskini na wanyonge.
Kama CCM ni chama cha maskini na wanyonge, jee viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo??
WAKATI WANAOMBA UONGOZI KWELI WALIKUWA MASIKINI NA WANYONGE LAKINI BAADA YA KUPATA UONGOZI NI MATAJIRI WA KUTUPWA KWANI WANAKOPESHANA MIHELA YA SERIKALI NA KUIBAMara nyingi huwa nawasikia viongozi wa CCM wakijinasibu kuwa chama chao ni chama cha maskini na wanyonge.
Kama CCM ni chama cha maskini na wanyonge, jee viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo??
Nawalisha hekima!!!Hayo ni maneno yako usiwalishe chama makini km CCM.
๐๐Wamemasikinishwa na CCM hiyo hiyo.๐๐