Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
La hasha, sio kweli hata kidogo hakuna kitu km hichoje viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La hasha, sio kweli hata kidogo hakuna kitu km hichoje viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo?
kuwa na kumbukumbu za kibaguzi ni uzandikiView attachment 2851703
Mkiwa waongo angalao muwe na kumbukumbu.
Uzandiki ni kujifanya hujui kama CCM ndiyo wanaoongoza kwa kuchochea ubaguzi.kuwa na kumbukumbu za kibaguzi ni uzandiki
Gonga tano👊 agiza Ulanzi nakuja kulipa.Uzandiki ni kujifanya hujui kama CCM ndiyo wanaoongoza kwa kuchochea ubaguzi.
kisha mnafata nyayo 🤣Uzandiki ni kujifanya hujui kama CCM ndiyo wanaoongoza kwa kuchochea ubaguzi.
Chama cha matapeli(CCM)Mara nyingi huwa nawasikia viongozi wa CCM wakijinasibu kuwa chama chao ni chama cha maskini na wanyonge.
Kama CCM ni chama cha maskini na wanyonge, jee viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo??