Kuwa na mpango mzito kama huo, ingependeza Samia angeuzungumzia jana wakati akiongea na wanafunzi wa vyuo vikuu, lakini jambo hilo kumuachia Msigwa ambaye tumeshamzoea kwa matamko yake ya kisanii ili kuitetea serikali sio wa kuaminika.
Kazi imeanza
Mikutano ilisimamaKazi inayoendelea iliwahi kusimama lini?
Mikutano ilisimama
WE ndio unatapatapa, serikali inapiga kazi kutimiza wajibu wake. Mmekosa cha kuwasema serikali mngetamani mpate cha kusema. Badilikeni badilini mbinu za kisiasa, CCM inajua sayansi ya siasaNi kweli kuwa vita vya panzi ni furaha ya kunguru.
Hata hivyo kwa mustakabala wetu wakiwamo watoto wa wajukuu zetu, tusiache mbachao kwa msala upitao.
Haina shaka kuwa nyongeza ya kwenye "boom" haina tofauti na punje ya mchele na punje ya almasi kwa jogoo.
Mengine haya ni yale yale:
View attachment 2515670
Tusiache kujiuliza kwani mpango mzuri kama huu uanzie wapi?
"Vijana watakapo hitimu au kwa wahitimu walioko mitaani tayari bila ajira?"
Inafahamika tutasikia mengi sana kwa kadri homa ya siasa itakavyoendelea kupanda.
Hata hivyo kama wenye akili zetu ni muhimu kuhoji.
Zaidi mno tutambue ndo ndo ndo si chururu.
Wanaita siasa ni sayansi. Si kuwa hawajui nini ufumbuzi bali huchukua hatua panapo kitisho cha dhahiri (imminent threat).Hongera sana Rais Samia.
WE ndio unatapatapa, serikali inapiga kazi kutimiza wajibu wake. Mmekosa cha kuwasema serikali mngetamani mpate cha kusema. Badilikeni badilini mbinu za kisiasa, CCM inajua sayansi ya siasa
Sasa ni wakati wa wasikilizaji kusikia kila sauti itokayo kila pembe. Kipindi kigumu saana kwa masikio yetu walahi. " MTAJI WA MASIKINI NGUVU ZAKE MWENYEWE, "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, ", VYOTE HIVI VIMEENDA WAPI?Mikutano ilisimama
π π πNi kweli kuwa vita vya panzi ni furaha ya kunguru.
Hata hivyo kwa mustakabala wetu wakiwamo watoto wa wajukuu zetu, tusiache mbachao kwa msala upitao.
Haina shaka kuwa nyongeza ya kwenye "boom" haina tofauti na punje ya mchele na punje ya almasi kwa jogoo.
Mengine haya ni yale yale:
View attachment 2515670
Tusiache kujiuliza kwani mpango mzuri kama huu uanzie wapi?
"Vijana watakapo hitimu au kwa wahitimu walioko mitaani tayari bila ajira?"
Inafahamika tutasikia mengi sana kwa kadri homa ya siasa itakavyoendelea kupanda.
Hata hivyo kama wenye akili zetu ni muhimu kuhoji.
Zaidi mno tutambue ndo ndo ndo si chururu.
Na wewe hukiamini chama chako?Hapo pesa zitawafuata wenye pesa tu ila hakuna mlengwa hata mmoja atakayenufaika.
Kilimo ni uti wa mgongo.Sasa ni wakati wa wasikilizaji kusikia kila sauti itokayo kila pembe. Kipindi kigumu saana kwa masikio yetu walahi. " MTAJI WA MASIKINI NGUVU ZAKE MWENYEWE, "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, ", VYOTE HIVI VIMEENDA WAPI?