CCM inapo tapa tapa kusaka uungwaji mkono

Kuwa na mpango mzito kama huo, ingependeza Samia angeuzungumzia jana wakati akiongea na wanafunzi wa vyuo vikuu, lakini jambo hilo kumuachia Msigwa ambaye tumeshamzoea kwa matamko yake ya kisanii ili kuitetea serikali sio wa kuaminika.
Tumepigwaaa
 
Ni baadhi ya wale wanaojiita wenye nchi ndio wanaleta tatizo.

CCM iko safi kabisa.

Ninakazia:

Maendeleo hayana chama na tunaweza kusikilizana sote nchi ikawa mahali hii pema kabisa pa kuishi.
 
Wapeni kwanza hao vijana mikopo ya kusoma kwa 100% halafu wakimaliza masomo ndio muwape mikopo ya biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…