CCM inategemea vyombo vya dola wakati wapinzani wakitegemea nguvu ya Umma, Nani zaidi

CCM inategemea vyombo vya dola wakati wapinzani wakitegemea nguvu ya Umma, Nani zaidi

Ni kweli kabisa kuwa CCM wasahau kabisa ushindi wa aina yoyote, iwapo tu vyombo vya dola vitaamua kuwa "neutral" katika mambo ya siasa.
Somo moja rahisi, ukienda vitani tambua kwanza nguvu halisi ya adui yako na sio nguvu unayo-wish awe nayo.
Kama unaenda kwenye uchaguzi huu ukiamini mwenzako hana wafuasi na wafuasi unao wewe tu, hiyo ni ingredient tosha ya msongo wa mawazo na vidonda vya tumbo hapo November.
 
CCM wanacheza na moto, kwa kuamini kuwa kwa kuwa wao ndiyo "wanaovimiliki" vyombo vya dola, kwa hiyo wanaweza viagiza wanavyotaka na vyenyewe vikatii..............

Lakini ni lazima wajue kwamba, historia ya duniani pote, ambapo amani imetoweka nchini kwao, chanzo ni nchi hiyo, kutoheshimu sanduku la kura, kwa kutoendesha uchaguzi ulio huru na wa haki
Sanduku la kura huheshimiwa siku zote na upinzani haujawahi kushinda, tuwekee data za matokeo hapa tuone.Acheni ramri chonganishi, safari hii mabeberu wenu wamekamatika na Corona hawapumui sijui mtalilia kwa nani
 
Hivi bado CHADEMA ni chama hai?
Kama Chadema kimeshakufa, ni kwanini mabosi wako wanahangaika usiku na mchana, ili kuhakikisha kuwa Chadema haifanyi shughuli zake kwa mujibu wa Katiba?
 
Back
Top Bottom