Somo moja rahisi, ukienda vitani tambua kwanza nguvu halisi ya adui yako na sio nguvu unayo-wish awe nayo.Ni kweli kabisa kuwa CCM wasahau kabisa ushindi wa aina yoyote, iwapo tu vyombo vya dola vitaamua kuwa "neutral" katika mambo ya siasa.
Sanduku la kura huheshimiwa siku zote na upinzani haujawahi kushinda, tuwekee data za matokeo hapa tuone.Acheni ramri chonganishi, safari hii mabeberu wenu wamekamatika na Corona hawapumui sijui mtalilia kwa naniCCM wanacheza na moto, kwa kuamini kuwa kwa kuwa wao ndiyo "wanaovimiliki" vyombo vya dola, kwa hiyo wanaweza viagiza wanavyotaka na vyenyewe vikatii..............
Lakini ni lazima wajue kwamba, historia ya duniani pote, ambapo amani imetoweka nchini kwao, chanzo ni nchi hiyo, kutoheshimu sanduku la kura, kwa kutoendesha uchaguzi ulio huru na wa haki
Hakuna muda mchafu wa kushughulika na chadema wakatu ishakufa.NAWATAFUNA
Kama Chadema ilishakufa kama unavyodai, ni kwanini mabosi wako wanafanya juhudi usiku na mchana, kuidhibiti Chadema?