Tetesi: CCM inawaka moto kwa ndani, siku si nyingi yataibuka makubwa

Kutarajia kuwa CCM watasambaratika mithili ya CUF ni sawa na fisi anavyotarajia mkono wa mtu anayetembea utadondoka ili autafune.
 
Ingekuwa hivyo Mungu tuondolee hili duduwasha na chuma uleteblimetutesa miaka mingi.CCM KUFA KUFA KABISA
 

pole sana Mchungaji....CCM NI WAZOEFU WA KUTATUA MIGOGORO....
Endelea kubuni migogoro ukidhani CCM ni kama UKAWA.
 
Kwa utambulisho wa avatar yake pekee inatosha pasipo na shaka kumtambulisha mtoa mada ni wa upande upi...na anayoyahisi ni ndoto zake za muda mrefu na za chama chake!
 

wewe ni mnafiki na.mzandiki ili ujue hilo rejea kusoma vzr post yako na hzo point zako.....et hatoshi 7bu hazijajulikana lkn wachambuzi wansema ukiukwaji wa sheria na utawala bora ...mmh wewe ni chadema so umeingiza matakwa yako na maumivu yako na kujitia kutengeneza propaganda kwa mh. rais...ww n useless ndugu weka vitu vyenye mashiko sio kutunga....
 
Hivi unaanzaje kabisa kutumia akili yako, elimu yako, utu wako na ubinadamu wako kuisaliti nchii hii .. Unawezaje ukawa mmmoja wa wana ccm kweli .. To support ccm sounds bitter and that is TREASON
 
Tunatambua reliability yako kamanda. Endelema kutuhabarisha.
 
mmeamua kupiga ramli nyie jamaa mtakuwa wachawi sio bure
 
Mbona dalili za moshi hatuzioni?
 
CCM chama imara, imeleta serikali imara ya JPM. Kama inawauma panda juu!.
 
Ashukuriwe Mungu aliye juu .
 
Acha majungu, majungu na fitina hazijengi ndiyo maana kuna watu kama wewe wanadiriki kumdanganya rais waziwazi(kama mama wa Airport). Sasa mama kama huyo kishasema uongo juu ya wafanyakazi wenzake mara ngapi ili kulinda/kusudi la kupandishwa cheo!!!!! narrate the truth and give evidence by pinpointing particular incidents so as for the Party Chairman(the President) to take action, Rais huyu hana simile wala hamumunyi maneno.
 
Hivi kuna mtu bado anaamini kuna migogoro huko ccm zaidi ya ile ya 2015
 
Hiki ni Chama Cha siasa Sio Saccos ya Mtei au Maalim Seif kaa ukisubiria Meli airport pole sana.
 
Kwanza jina la mwanahabari huru si kweli ww ni mwanahabari wa ufipa then muundo wa ccm ni toauti sana na miundo ya vyama vya ushirika na vya harakati ccm aitotokea siku kikawa kama cuf au chadema kutokana na fundamental grounds za ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…