Mtasubiri sana
Hakuna tukio lolote ambalo limekipa ccm changamoto ya kiungozi na utendaji tokea magufuli awe mwenyekiti,sasa nyie team lowassa mmejuaje kama hatoshi?Mafisadi na mawakala wao wanatapa tapa na wamestushwa na ziara ya ghafla UPL.Bado UVCCCM,UWT na WAZAZI kote huko magufuli atafyeka vichwa,ndio katiba ya ccm inamruhusu
Watu wa Lowassa mnatamani sana Magufuli afeli ndani ya ccm,lakini halitatokea,wachawi wote wameondoka na waliobaki wanaendelea kukusanywa ili waoneshwe mlango wa kutokea