Tetesi: CCM inawaka moto kwa ndani, siku si nyingi yataibuka makubwa

Siku wakijua ccm ni genge la wezi linalojivika utakatifu kuwakwapua watanzania.......

Ndipo mtaanza kudai haki zenu kote ndani ya ccm na nje hapo ndipo itakuwa mwisho wa ccm.........
Wanajua sasa kuna Madalali wa Siasa wapo katikati ya Lipumba na CCM wanakula pesa kama mchwa kwa kisingizio cha kuzitumia kudhoofisha Ukawa na kuvuruga upinzani kwa ujumla.
 
Acheni unafiki wanalalama si sababu ya kuua demokrasia,wala matumizi ya mali za chama hapana kabisa.CCM hawajawahi kukuza demokrasia ndani ya chama na nje ya chama,hawana historia hiyo tokea kuundwa kwake hadi sasa.Ni kwamba Mh raisi kawanyanganya tonge mdomoni,sasa wanahaha sababu ya kufunga mianya ya ufisadi.CCM walioizoea kula bila kunawa sasa hakuna imefutika,iliopo ni CCM hapa kazi.
Pesa nyingi ya CCM inaliwa na lipumba, sakaya na Abdalah kambaya mkuu wa Kitengo cha kamati ya Ufundi cha CUF, wana CCM wengi hawapendi lipumba kuigeuza CCM kuwa buzzi la kuchuna pesa kwa mipango Haramu.
 
Mianya ya pesa imeminywa lazima walalamike chezea magu
Ni vigumu kuminya mianya ya pesa CCM kwani CCM wana miladi nchi nzima hata viwanja vya parking za magari hiyo pesa yote inaliwa na Wajanja wachache, kero yao kubwa kwa sasa ni kitendo cha Lipumba kupewa pesa nyingi na CCM huku Madalali wa siasa wakifaidi pasipo baadhi ya wanaojiita magwiji wa CCM kushirikishwa, Mdadi wa lipumba aliopenyeza ndani ya CCM ndiyo unawagawa.
 
Kitendo cha lipumba kula pesa za CCM kijanja huku akiwageuza buzi na Wajanja kula 10% humo humo ndicho kinawakera wengi kwani walichonga mchango wao wakijua pesa zitapitia kwao wapige panga lakini Wajanja wengine akina January wakapindisha Dili limepitia kwao wanakula pesa kiulaini kwa mgongo wa Lipumba na kisingizio cha kudhoofisha Ukawa na upinzani kwa ujumla, michongo na madili kama hayo ndiyo kiini cha mivutano ndani ya CCM maana kila mmoja anapenda kula pesa kwa visingizio vya kuvuruga upinzani kwani ndiyo njia rahisi ya kula pesa za CCM
 
ndugi zangu leteni hoja zakujenga siyo majungu ya vyama semeni kuwa waliowengi mmeambukizwa kaaugonjwa ka upambe baada ya hao waume zenu kudhibitiwa sasa hakuna hela inayovuja yaonjeni maisha magumu .NA BADO MTAISOMA NAMBA YA HAPA KAZI TU.baado moto unakuja sisi maisha magumu tumeyazoea tulieni si mmeyataka wenyewe , mtaipenda wenyewe , mvimbe mkapasuke mpendwa magufuli mbele kwa mbele na mungu akuomgoze .baada ya walimu kinachofuata ni ndani ya chama chake.MSITUCHONGANISHE NA RAIS WETU.
 
Wewe utakuwa ghetto kwa lipumba umekula 10% umekariri kuwa kazi tu bila kujua kuwa CCM bado Dili zipo licha ya nyie kula Dili la lipumba, hoja ipi unataka? Waume wapi? ww kuolewa na lipumba unadhani kila mtu anaolewa? Mbona mnalalana Ofisini buguruni kwa nini hamwendi kulala kwenu? Hilo janaba mnaloweka hapo mtapata laana licha ya Abdalah Kambaya kuleta Mseto wa Waganga wa kienyeji.Usifiri kwa kukariri Akili za akina Sendeka unadhani mawazo yako ni sahihi.
 
Lizaboni na Ritz hakiawafikia nin hiko kikombe?team pangaboi lazma isambaratike soon
 
ndugi zangu leteni hoja zakujenga siyo majungu ya vyama semeni kuwa waliowengi mmeambukizwa kaaugonjwa ka upambe baada ya hao waume zenu kudhibitiwa sasa hakuna hela inayovuja yaonjeni maisha magumu .NA BADO MTAISOMA NAMBA YA HAPA KAZI TU.baado moto unakuja sisi maisha magumu tumeyazoea tulieni si mmeyataka wenyewe , mtaipenda wenyewe , mvimbe mkapasuke mpendwa magufuli mbele kwa mbele na mungu akuomgoze .baada ya walimu kinachofuata ni ndani ya chama chake.MSITUCHONGANISHE NA RAIS WETU.
HaKuna anaependa maisha magumu wewe tunataka maisha mazuri ya kihalali
 
Kama aliondoka ma Mvi basi chama kitaendea kustawi kwakua Mkuu wa piga dili alisha amia Chama kingine.
Hakuna marefu yasio na ncha kwa Magufuli ccm hakitastawi kitaangamia
 
Pesa nyingi ya CCM inaliwa na lipumba, sakaya na Abdalah kambaya mkuu wa Kitengo cha kamati ya Ufundi cha CUF, wana CCM wengi hawapendi lipumba kuigeuza CCM kuwa buzzi la kuchuna pesa kwa mipango Haramu.
Hiyo pesa unayoizungumzia je una ushaidi imetolewa na CCM? Si umesikia Jaji mlezi wa vyama vya siasa kampa go ahead Lipumba afungue bank account ya CUF.Jaji ndio serikali ni maamuzi ya serikali,na mtoa ruzuku ni serikali sio CCM,tumesikia vitega uchumi vya chama vina hali ngumu.
 
nchi unampa msukuma unatarajia nini, wanatumia nguvu kuliko akili na hawashauriki
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100]
 
Hiyo pesa unayoizungumzia je una ushaidi imetolewa na CCM? Si umesikia Jaji mlezi wa vyama vya siasa kampa go ahead Lipumba afungue bank account ya CUF.Jaji ndio serikali ni maamuzi ya serikali,na mtoa ruzuku ni serikali sio CCM,tumesikia vitega uchumi vya chama vina hali ngumu.
Mkuu pesa za Hazina huwa ni kama za CCM kwani wakiamua hujichukulia pesa kimya kimya pasipo vyama vingine kujua, mfano ule mkutano mkuu wa CCM kule Dodoma ulikwama baada ya CCM kukosa pesa kutokana na ruzuku kupigwa na Wajanja wachache, lakini kwa ujanja wakechota pesa na mkutano ukafanyika hivyo pesa zao ni pesa za umma ni pesa za walipa kodi lakini cha ajabu walipa kodi wanamfanyia kazi Lipumba na Madalali wa siasa ambao wanakula 10% kupitia huo mladi mpya wa kifisadi ambao mpaka kufika 2020 utakuwa umeigharimu serikali mabilion ya shilingi na dola:
 
Muda sio mrefu madai ya wanaCCM yataibuka na kuwekwa wazi, ikiwa ni kilio na malalamiko juu ya uwezo wa Mwenyekiti wa Chama hicho ngazi ya Taifa, kwamba anashindwa kukiongoza chama, sababu za msingi hazikuwekwa wazi ni nini hasa kinachomfanya mwenyekiti huyo mpya ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja kuonekana hatoshi, lakini wachambuzi wachache wa masuala hayo walidai ni ukiukwaji wa demokrasia, ukiukwaji wa utawala bora na kukiuka sheria na taratibu, kutokusikiliza ushauri na kuendesha nchi kwa hisia, mapenzi, chuki na matakwa binafsi bila kufuata utaratibu.

Kubwa zaidi; ndani ya chama hicho kuna ubadhilifu mkubwa wa fedha ambao mwenyekiti huyo ameshindwa kuushughulikia na kuudhibiti, kuna matumizi mabaya ya fedha ambayo yanazidi kukiondolea chama hicho sifa, kuna vyanzo vya mapato vya chama hicho ambavyo havijulikano, yaani hewa, lakini wadadisi wanavyosema kuwa inawezekana fedha hizo zinatoka serikalini na zinaingizwa kwenye chama hicho tayari kwa kuanza rasmi kazi za chama.. ambapo wachache hao wazalendo walidai kuwa chama hakipaswi kuihujumu mali ya umma kwani hata kama wananchi hawatakichagua tena, ni halali kwani ni kweli kimepoteza sifa, mvuto na nguvu kiliyokuwa nayo awali.

Baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho ambao nilipata kuwadadisi kwa kufanya mazungumzo nao kwa njia ya VoiP, walinihakikishia kuwa chama hicho mpaka sasa hakina Dira, na waliyakumbuka maneno ya marehemu Horace Kolimba.

Malalamiko na manung'uniko hayo ni ya chini kwa chini yaliyodumu kwa muda mrefu sasa, yaliyopelekea maafisa kadhaa kwenye chama hicho kuondolewa nyadhifa zao na kuonywa vikali kutokuzungumza chochote, pia wengine kuamua kuachia nafasi zao bila taarifa rasmi..Lakini mwengi wamedai uwezo wake ni mdogo kushika madaraka makubwa mawili, yaani zile kofia mbili.

Taarifa kamili nitazileta kadiri nitakavyozipata kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chama hicho, chama cha mapinduzi CCM.
Hayo ni mawazo yako , ktk sabbu zote ulizotoa hakuna hata moja inayomgusa mwenyekiti wa chama moja kwa moja.

Acha majungu fanyakazi huu utawala si ule wa kupiga domo na bado ukapata pesa, wenzio tunafanyakaz majungu hayana nafasi, kesho utarudi na kilio cha maisha magumu kumbe wewe ndiye mgumu wa kuelewa
 
Muda sio mrefu madai ya wanaCCM yataibuka na kuwekwa wazi, ikiwa ni kilio na malalamiko juu ya uwezo wa Mwenyekiti wa Chama hicho ngazi ya Taifa, kwamba anashindwa kukiongoza chama, sababu za msingi hazikuwekwa wazi ni nini hasa kinachomfanya mwenyekiti huyo mpya ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja kuonekana hatoshi, lakini wachambuzi wachache wa masuala hayo walidai ni ukiukwaji wa demokrasia, ukiukwaji wa utawala bora na kukiuka sheria na taratibu, kutokusikiliza ushauri na kuendesha nchi kwa hisia, mapenzi, chuki na matakwa binafsi bila kufuata utaratibu.

Kubwa zaidi; ndani ya chama hicho kuna ubadhilifu mkubwa wa fedha ambao mwenyekiti huyo ameshindwa kuushughulikia na kuudhibiti, kuna matumizi mabaya ya fedha ambayo yanazidi kukiondolea chama hicho sifa, kuna vyanzo vya mapato vya chama hicho ambavyo havijulikano, yaani hewa, lakini wadadisi wanavyosema kuwa inawezekana fedha hizo zinatoka serikalini na zinaingizwa kwenye chama hicho tayari kwa kuanza rasmi kazi za chama.. ambapo wachache hao wazalendo walidai kuwa chama hakipaswi kuihujumu mali ya umma kwani hata kama wananchi hawatakichagua tena, ni halali kwani ni kweli kimepoteza sifa, mvuto na nguvu kiliyokuwa nayo awali.

Baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho ambao nilipata kuwadadisi kwa kufanya mazungumzo nao kwa njia ya VoiP, walinihakikishia kuwa chama hicho mpaka sasa hakina Dira, na waliyakumbuka maneno ya marehemu Horace Kolimba.

Malalamiko na manung'uniko hayo ni ya chini kwa chini yaliyodumu kwa muda mrefu sasa, yaliyopelekea maafisa kadhaa kwenye chama hicho kuondolewa nyadhifa zao na kuonywa vikali kutokuzungumza chochote, pia wengine kuamua kuachia nafasi zao bila taarifa rasmi..Lakini mwengi wamedai uwezo wake ni mdogo kushika madaraka makubwa mawili, yaani zile kofia mbili.

Taarifa kamili nitazileta kadiri nitakavyozipata kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chama hicho, chama cha mapinduzi CCM.
Ungeongelea jinsi waliokutuma wanavyomuhujumu Lipumba Ningekuona Mwanahabari huru kweli kweli.
 
kuna mdau humu alisema kuna mijihela ilikamatwa airport na wazee wa suti nyeusi walipotaka kuzuia waliambiwa acha mzigo huo,nikiunganisha na hii habari naanza kuelewa
 
Mkuu pesa za Hazina huwa ni kama za CCM kwani wakiamua hujichukulia pesa kimya kimya pasipo vyama vingine kujua, mfano ule mkutano mkuu wa CCM kule Dodoma ulikwama baada ya CCM kukosa pesa kutokana na ruzuku kupigwa na Wajanja wachache, lakini kwa ujanja wakechota pesa na mkutano ukafanyika hivyo pesa zao ni pesa za umma ni pesa za walipa kodi lakini cha ajabu walipa kodi wanamfanyia kazi Lipumba na Madalali wa siasa ambao wanakula 10% kupitia huo mladi mpya wa kifisadi ambao mpaka kufika 2020 utakuwa umeigharimu serikali mabilion ya shilingi na dola:
Nimekusoma lound and clear,kwanini tumezaliwa Tanzania na sio Sweden.
 
Muda sio mrefu madai ya wanaCCM yataibuka na kuwekwa wazi, ikiwa ni kilio na malalamiko juu ya uwezo wa Mwenyekiti wa Chama hicho ngazi ya Taifa, kwamba anashindwa kukiongoza chama, sababu za msingi hazikuwekwa wazi ni nini hasa kinachomfanya mwenyekiti huyo mpya ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja kuonekana hatoshi, lakini wachambuzi wachache wa masuala hayo walidai ni ukiukwaji wa demokrasia, ukiukwaji wa utawala bora na kukiuka sheria na taratibu, kutokusikiliza ushauri na kuendesha nchi kwa hisia, mapenzi, chuki na matakwa binafsi bila kufuata utaratibu.

Kubwa zaidi; ndani ya chama hicho kuna ubadhilifu mkubwa wa fedha ambao mwenyekiti huyo ameshindwa kuushughulikia na kuudhibiti, kuna matumizi mabaya ya fedha ambayo yanazidi kukiondolea chama hicho sifa, kuna vyanzo vya mapato vya chama hicho ambavyo havijulikano, yaani hewa, lakini wadadisi wanavyosema kuwa inawezekana fedha hizo zinatoka serikalini na zinaingizwa kwenye chama hicho tayari kwa kuanza rasmi kazi za chama.. ambapo wachache hao wazalendo walidai kuwa chama hakipaswi kuihujumu mali ya umma kwani hata kama wananchi hawatakichagua tena, ni halali kwani ni kweli kimepoteza sifa, mvuto na nguvu kiliyokuwa nayo awali.

Baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho ambao nilipata kuwadadisi kwa kufanya mazungumzo nao kwa njia ya VoiP, walinihakikishia kuwa chama hicho mpaka sasa hakina Dira, na waliyakumbuka maneno ya marehemu Horace Kolimba.

Malalamiko na manung'uniko hayo ni ya chini kwa chini yaliyodumu kwa muda mrefu sasa, yaliyopelekea maafisa kadhaa kwenye chama hicho kuondolewa nyadhifa zao na kuonywa vikali kutokuzungumza chochote, pia wengine kuamua kuachia nafasi zao bila taarifa rasmi..Lakini mwengi wamedai uwezo wake ni mdogo kushika madaraka makubwa mawili, yaani zile kofia mbili.

Taarifa kamili nitazileta kadiri nitakavyozipata kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chama hicho, chama cha mapinduzi CCM.
Au unamaanisha cuf
 
Mtasubiri sana
Hakuna tukio lolote ambalo limekipa ccm changamoto ya kiungozi na utendaji tokea magufuli awe mwenyekiti,sasa nyie team lowassa mmejuaje kama hatoshi?Mafisadi na mawakala wao wanatapa tapa na wamestushwa na ziara ya ghafla UPL.Bado UVCCCM,UWT na WAZAZI kote huko magufuli atafyeka vichwa,ndio katiba ya ccm inamruhusu
Watu wa Lowassa mnatamani sana Magufuli afeli ndani ya ccm,lakini halitatokea,wachawi wote wameondoka na waliobaki wanaendelea kukusanywa ili waoneshwe mlango wa kutokea
 
Back
Top Bottom