Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,062
Ccm haiwezi kutoboa chaguzi tatu zijazo. Mnaodhani ccm itaongoza maisha mnajidanganya. Nasubiri mziki wa 2020 kwanza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda sio mrefu madai ya wanaCCM yataibuka na kuwekwa wazi, ikiwa ni kilio na malalamiko juu ya uwezo wa Mwenyekiti wa Chama hicho ngazi ya Taifa, kwamba anashindwa kukiongoza chama, sababu za msingi hazikuwekwa wazi ni nini hasa kinachomfanya mwenyekiti huyo mpya ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja kuonekana hatoshi, lakini wachambuzi wachache wa masuala hayo walidai ni ukiukwaji wa demokrasia, ukiukwaji wa utawala bora na kukiuka sheria na taratibu, kutokusikiliza ushauri na kuendesha nchi kwa hisia, mapenzi, chuki na matakwa binafsi bila kufuata utaratibu.
Kubwa zaidi; ndani ya chama hicho kuna ubadhilifu mkubwa wa fedha ambao mwenyekiti huyo ameshindwa kuushughulikia na kuudhibiti, kuna matumizi mabaya ya fedha ambayo yanazidi kukiondolea chama hicho sifa, kuna vyanzo vya mapato vya chama hicho ambavyo havijulikano, yaani hewa, lakini wadadisi wanavyosema kuwa inawezekana fedha hizo zinatoka serikalini na zinaingizwa kwenye chama hicho tayari kwa kuanza rasmi kazi za chama.. ambapo wachache hao wazalendo walidai kuwa chama hakipaswi kuihujumu mali ya umma kwani hata kama wananchi hawatakichagua tena, ni halali kwani ni kweli kimepoteza sifa, mvuto na nguvu kiliyokuwa nayo awali.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho ambao nilipata kuwadadisi kwa kufanya mazungumzo nao kwa njia ya VoiP, walinihakikishia kuwa chama hicho mpaka sasa hakina Dira, na waliyakumbuka maneno ya marehemu Horace Kolimba.
Malalamiko na manung'uniko hayo ni ya chini kwa chini yaliyodumu kwa muda mrefu sasa, yaliyopelekea maafisa kadhaa kwenye chama hicho kuondolewa nyadhifa zao na kuonywa vikali kutokuzungumza chochote, pia wengine kuamua kuachia nafasi zao bila taarifa rasmi..Lakini mwengi wamedai uwezo wake ni mdogo kushika madaraka makubwa mawili, yaani zile kofia mbili.
Taarifa kamili nitazileta kadiri nitakavyozipata kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chama hicho, chama cha mapinduzi CCM.
Eeeenh Mungu kishushie chama hiki kama moto Wa sodoma na gomora ukiangamize kabisa
Mkuu unamaanisha Mwenyekiti wa CCM au ulitaka kumuongelea Katibu Mkuu wa CHADEMA? Hivi yupo?Muda sio mrefu madai ya wanaCCM yataibuka na kuwekwa wazi, ikiwa ni kilio na malalamiko juu ya uwezo wa Mwenyekiti wa Chama hicho ngazi ya Taifa, kwamba anashindwa kukiongoza chama, sababu za msingi hazikuwekwa wazi ni nini hasa kinachomfanya mwenyekiti huyo mpya ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja kuonekana hatoshi, lakini wachambuzi wachache wa masuala hayo walidai ni ukiukwaji wa demokrasia, ukiukwaji wa utawala bora na kukiuka sheria na taratibu, kutokusikiliza ushauri na kuendesha nchi kwa hisia, mapenzi, chuki na matakwa binafsi bila kufuata utaratibu.
Kubwa zaidi; ndani ya chama hicho kuna ubadhilifu mkubwa wa fedha ambao mwenyekiti huyo ameshindwa kuushughulikia na kuudhibiti, kuna matumizi mabaya ya fedha ambayo yanazidi kukiondolea chama hicho sifa, kuna vyanzo vya mapato vya chama hicho ambavyo havijulikano, yaani hewa, lakini wadadisi wanavyosema kuwa inawezekana fedha hizo zinatoka serikalini na zinaingizwa kwenye chama hicho tayari kwa kuanza rasmi kazi za chama.. ambapo wachache hao wazalendo walidai kuwa chama hakipaswi kuihujumu mali ya umma kwani hata kama wananchi hawatakichagua tena, ni halali kwani ni kweli kimepoteza sifa, mvuto na nguvu kiliyokuwa nayo awali.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho ambao nilipata kuwadadisi kwa kufanya mazungumzo nao kwa njia ya VoiP, walinihakikishia kuwa chama hicho mpaka sasa hakina Dira, na waliyakumbuka maneno ya marehemu Horace Kolimba.
Malalamiko na manung'uniko hayo ni ya chini kwa chini yaliyodumu kwa muda mrefu sasa, yaliyopelekea maafisa kadhaa kwenye chama hicho kuondolewa nyadhifa zao na kuonywa vikali kutokuzungumza chochote, pia wengine kuamua kuachia nafasi zao bila taarifa rasmi..Lakini mwengi wamedai uwezo wake ni mdogo kushika madaraka makubwa mawili, yaani zile kofia mbili.
Taarifa kamili nitazileta kadiri nitakavyozipata kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chama hicho, chama cha mapinduzi CCM.
Wewe usituletee swaga za kikaoge hapaHa
Hayakuhusu bibi
Nahifadhi jina lako katika kitabu cha kumbukumbu,ntakurudia pindi muda utakapowadia.Propaganda za ufipa utaziweza!! hamna lolote hapo...mmemaliza uchambuzi dhidi ya bombardier..sasa mmehamia ccm, Magufuli sio saizi yenu..hangaikeni na professor, Ngosha ni wa kimataifa.
Tatizo yanayodai hizo haki unazosema , ni mafisi. Mara nyingi Mafisi huwa ni mabemdera fuata upepo. Yanafuata ulaji unakopeperukia, ni machumia tumbo. Hata kwa umoja wao na zengwe wanalotaka kumfanyia Magu, hawamuwezi, atawalamba panga waishe, na akiwafyeka, chama pendwa kitasalimika, maana ni wepesi kama bua.Siku wakijua ccm ni genge la wezi linalojivika utakatifu kuwakwapua watanzania.......
Ndipo mtaanza kudai haki zenu kote ndani ya ccm na nje hapo ndipo itakuwa mwisho wa ccm.........
CCM kama chama kimeshakufa zamani. Hiki kinachoitwa CCM leo ni chama dola, au chama cha dola. Siku vyombo vya dola na taasisi zake zikitumika kidola na sio kichama, wapiga kura na vyama vya upinzani vitasukuma mlevi tu. Mlevi na mg'ang'anizi wa madaraka aliyejipa kazi ya kuwagawia wadanganyika umasikini na ahadi hewa.Siku wakijua ccm ni genge la wezi linalojivika utakatifu kuwakwapua watanzania.......
Ndipo mtaanza kudai haki zenu kote ndani ya ccm na nje hapo ndipo itakuwa mwisho wa ccm.........
Kichekesho!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muda sio mrefu madai ya wanaCCM yataibuka na kuwekwa wazi, ikiwa ni kilio na malalamiko juu ya uwezo wa Mwenyekiti wa Chama hicho ngazi ya Taifa, kwamba anashindwa kukiongoza chama, sababu za msingi hazikuwekwa wazi ni nini hasa kinachomfanya mwenyekiti huyo mpya ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja kuonekana hatoshi, lakini wachambuzi wachache wa masuala hayo walidai ni ukiukwaji wa demokrasia, ukiukwaji wa utawala bora na kukiuka sheria na taratibu, kutokusikiliza ushauri na kuendesha nchi kwa hisia, mapenzi, chuki na matakwa binafsi bila kufuata utaratibu.
Kubwa zaidi; ndani ya chama hicho kuna ubadhilifu mkubwa wa fedha ambao mwenyekiti huyo ameshindwa kuushughulikia na kuudhibiti, kuna matumizi mabaya ya fedha ambayo yanazidi kukiondolea chama hicho sifa, kuna vyanzo vya mapato vya chama hicho ambavyo havijulikano, yaani hewa, lakini wadadisi wanavyosema kuwa inawezekana fedha hizo zinatoka serikalini na zinaingizwa kwenye chama hicho tayari kwa kuanza rasmi kazi za chama.. ambapo wachache hao wazalendo walidai kuwa chama hakipaswi kuihujumu mali ya umma kwani hata kama wananchi hawatakichagua tena, ni halali kwani ni kweli kimepoteza sifa, mvuto na nguvu kiliyokuwa nayo awali.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho ambao nilipata kuwadadisi kwa kufanya mazungumzo nao kwa njia ya VoiP, walinihakikishia kuwa chama hicho mpaka sasa hakina Dira, na waliyakumbuka maneno ya marehemu Horace Kolimba.
Malalamiko na manung'uniko hayo ni ya chini kwa chini yaliyodumu kwa muda mrefu sasa, yaliyopelekea maafisa kadhaa kwenye chama hicho kuondolewa nyadhifa zao na kuonywa vikali kutokuzungumza chochote, pia wengine kuamua kuachia nafasi zao bila taarifa rasmi..Lakini mwengi wamedai uwezo wake ni mdogo kushika madaraka makubwa mawili, yaani zile kofia mbili.
Taarifa kamili nitazileta kadiri nitakavyozipata kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chama hicho, chama cha mapinduzi CCM.
ugomnvi wao mkubwa ni pesa za chama kupewa lipumba badala ya maendeleo kibaya kinachowakera ni hiyo pesa kupewa January moja kwa moja badala ya kupitia kwa viongozi wachuje matumizi vizuri, pesa nyingi inatumika kudhoofisha Ukawa badala ya kuimaarisha chama na Madalali wa siasa ndani ya CCM wanapiga pesa kuliko viongozi wenyewe hata miladi ya kuvuruga vyama mfano CUF kwa sasa wanakula Wajanja wachache wengi wamebakia kuwa mashabiki tu .Muda sio mrefu madai ya wanaCCM yataibuka na kuwekwa wazi, ikiwa ni kilio na malalamiko juu ya uwezo wa Mwenyekiti wa Chama hicho ngazi ya Taifa, kwamba anashindwa kukiongoza chama, sababu za msingi hazikuwekwa wazi ni nini hasa kinachomfanya mwenyekiti huyo mpya ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja kuonekana hatoshi, lakini wachambuzi wachache wa masuala hayo walidai ni ukiukwaji wa demokrasia, ukiukwaji wa utawala bora na kukiuka sheria na taratibu, kutokusikiliza ushauri na kuendesha nchi kwa hisia, mapenzi, chuki na matakwa binafsi bila kufuata utaratibu.