PreGE2025 CCM inawapa wachina tenda za kuprint tshirt zao. Vijana shtukeni na mjiulize kwanini hampewi hizi tenda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,532
Reaction score
14,164
Hawa ni wachina wanapewa tenda ya kuprint tshirt, Vijana wa Kitanzania wanasota mitaani tu, na sio kusota wapo wenye offisi jama za hawa wachina ila hawajapewa hii kazi.

Kuna vijana wana offisi za kuprint mboba CVN wasiwape? au wanaona watatajirika na hivyo CCM itakosa watu wa kuipigia magoti?

Sasa wakute majukwaani wanavyo ongea hadi mate yanaruka mita 100 kuhusu ajira kwa vijana ilihali wao wanawapatia wachina ajira.

Hii iwafikie vijana wa Kitanzania.

Hii iwafikie vijana wajinga wajinga wa Kitanzania.
CCM ni laghai, matapeli, waongo na baba wa uovu.
 
Nikiangalia haya mabus yakichina yalivyojaa mabarabarani naumia sana aisee.

Tungefanya huu uwekezaji kwa jeshi letu pale Nyumba wakawa wanafyatua haya mabus tungefika mbali sana aisee.

Hatuhitaji robots kwa sasa, tuna workforce kubwa mitaani huko inazagaazagaa, nikuwapa skills na kuyatengeneza haya mabus Kwa mikono tu, tukitumia Iron ore kutoka Liganga pale na mchuchuma pale.
 
😂😂😂 Msiwashitue sasaa waacheni..... Mi napenda vijana ambao ni diploma and degree graduates WANAVYOTESEKAAA huku wakisifu na kuabudu wanayofanyiwa na chama la wana
 
Productivity ndo issue. Sasa unakuta Mchina anakutengenezea kitu quality anakuambia na gharama ya nembo ni bonus.

Hapo wewe tenda unampa nani kama sio mchina?

Wabongo tuendelee kujifunza kwa wachina, kuna siku na sisi tutabadilika
 
Sasa wakipewa kazi wakina mwijaku watapatikanaje?Vijana wataendelea kuwa Machawa na waimba mapambio mpaka ccm tuizike,Na mwaka huu watumbwizaji wakati wa Kampeni watakuwa band za Zanzibar za Taarabu.
 
Hawa ni wachina wanapewa tenda ya kuprint tshirt, Vijana wa Kitanzania wanasota mitaani tu, na sio kusota wapo wenye offisi jama za hawa wachina ila hawajapewa hii kazi.

Kuna vijana wana offisi za kuprint mboba CVN wasiwape? au wanaona watatajirika na hivyo CCM itakosa watu wa kuipigia magoti?

Sasa wakute majukwaani wanavyo ongea hadi mate yanaruka mita 100 kuhusu ajira kwa vijana ilihali wao wanawapatia wachina ajira.

Hii iwafikie vijana wajinga wajinga wa Kitanzania.

Msaada huo toka kwa narafiki wa CCM wa China
 
Hawa ni wachina wanapewa tenda ya kuprint tshirt, Vijana wa Kitanzania wanasota mitaani tu, na sio kusota wapo wenye offisi jama za hawa wachina ila hawajapewa hii kazi. Kuna vijana wana offisi za kuprint mboba CVN wasiwape? au wanaona watatajirika na hivyo CCM itakosa watu wa kuipigia magoti? Sasa wakute majukwaani wanavyo ongea hadi mate yanaruka mita 100 kuhusu ajira kwa vijana ilihali wao wanawapatia wachina ajira. Hii iwafikie vijana wajinga wajinga wa Kitanzania.
Wachina ndio wanao ifadhiri CCM.
 
Hawa ni wachina wanapewa tenda ya kuprint tshirt, Vijana wa Kitanzania wanasota mitaani tu, na sio kusota wapo wenye offisi jama za hawa wachina ila hawajapewa hii kazi.

Kuna vijana wana offisi za kuprint mboba CVN wasiwape? au wanaona watatajirika na hivyo CCM itakosa watu wa kuipigia magoti?

Sasa wakute majukwaani wanavyo ongea hadi mate yanaruka mita 100 kuhusu ajira kwa vijana ilihali wao wanawapatia wachina ajira.

Hii iwafikie vijana wajinga wajinga wa Kitanzania.

Tuliwapatia vijana wa kitanzania wakatumia brash na rangi za nyumba kuchora lebel na maandishi. Halafu wakawa wanaturusha kutukabidhi mzigo kumbe wapo busy wanajenga wengine wameenda Dubai
 
Hawa ni wachina wanapewa tenda ya kuprint tshirt, Vijana wa Kitanzania wanasota mitaani tu, na sio kusota wapo wenye offisi jama za hawa wachina ila hawajapewa hii kazi.

Kuna vijana wana offisi za kuprint mboba CVN wasiwape? au wanaona watatajirika na hivyo CCM itakosa watu wa kuipigia magoti?

Sasa wakute majukwaani wanavyo ongea hadi mate yanaruka mita 100 kuhusu ajira kwa vijana ilihali wao wanawapatia wachina ajira.

Hii iwafikie vijana wajinga wajinga wa Kitanzania.

Inasikitisha sana wakati mjini vijana wapo kibao wenye uwezo.

Mwaka huu Erick Shigongo hajapewa?
 
Back
Top Bottom