PreGE2025 CCM inawapa wachina tenda za kuprint tshirt zao. Vijana shtukeni na mjiulize kwanini hampewi hizi tenda

PreGE2025 CCM inawapa wachina tenda za kuprint tshirt zao. Vijana shtukeni na mjiulize kwanini hampewi hizi tenda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hawa ni wachina wanapewa tenda ya kuprint tshirt, Vijana wa Kitanzania wanasota mitaani tu, na sio kusota wapo wenye offisi jama za hawa wachina ila hawajapewa hii kazi.

Kuna vijana wana offisi za kuprint mboba CVN wasiwape? au wanaona watatajirika na hivyo CCM itakosa watu wa kuipigia magoti?

Sasa wakute majukwaani wanavyo ongea hadi mate yanaruka mita 100 kuhusu ajira kwa vijana ilihali wao wanawapatia wachina ajira.

Hii iwafikie vijana wajinga wajinga wa Kitanzania.

Za Chadema zinaprintiwa na akina nani?
 
Hiyo kazi wachina hawalipwi chochote, wanangojea kupata tenda za kifisadi kutoka serikalini. Hufanyika hivyo miaka yote ya uchaguzi
 
Vijana wa sisiemu tukishavaa uniform za chama na kuitana comredi sisi inatosha sana. Hayo mengine hayatuhusu.
 
Kijana tz anaprint tshirt kwa 12,000 tena quality mbovu ila mchina anaweza kufanya printing quality kwa 3,000 tu
 
Mara nyingi printing companies za kibongo ndio zinazo outsource printing kwa Wachina.

Wana waoutbid printing competitors wenzao wakibongo kwa kuweka bei ambayo ni below market price in Tz hivyo unakuta aliyeshinda tenda yeye mwenyewe hawezi deliver kazi hiyo kwa kununulia malighafi Kama Tshirts ndani ya nchi.

Na mchina yuko very flexible unanunua malighafi kama Tshirts mzigo mkubwa kwake nakukuprintia anakuprintia kwa bei poa zaidi na faida unabakiwa nayo ambapo ungefanyia bongo usingepata faida. That's how the game is rigged.
 
Hakuna kitu kama hicho!

Hapo lazima kuna pesa inaongezewa ya kupigwa....
Watu wangapi wanatajirika kwa kuprint t-shirt za chama....ila wanakula na wana!
Kijana tz anaprint tshirt kwa 12,000 tena quality mbovu ila mchina anaweza kufanya printing quality kwa 3,000
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
 
Hawa ni wachina wanapewa tenda ya kuprint tshirt, Vijana wa Kitanzania wanasota mitaani tu, na sio kusota wapo wenye offisi jama za hawa wachina ila hawajapewa hii kazi.

Kuna vijana wana offisi za kuprint mboba CVN wasiwape? au wanaona watatajirika na hivyo CCM itakosa watu wa kuipigia magoti?

Sasa wakute majukwaani wanavyo ongea hadi mate yanaruka mita 100 kuhusu ajira kwa vijana ilihali wao wanawapatia wachina ajira.

Hii iwafikie vijana wajinga wajinga wa Kitanzania.

 

Attachments

  • Screenshot_20250306-183123_1.jpg
    Screenshot_20250306-183123_1.jpg
    300.2 KB · Views: 21
Mchina kiboko pamoja na kelele za Trump bado T-shirt na kofia za MAGA zinatoka China

Ila sisi na umasikini wetu hata mafundi cherehani wangetengeneza
Lakini ni wizi ndio unafanya waagize nje

Utakuta container moja mamilion ya hela x 200 ya bei za kawaida
 
Juzi niliona Tenda ya kutengeneza Tshrts mpya za kampeni mmempa mchina wamekaa wanaprint huko kwao, yaani hadi tshrt mmeshindwa kutengeneza ndani kazi mmempa mchina alafu mtu anatoka mbele anasema tupo vizuri kiuchumi uchumi gani wa kuagiza vitu nnje hadi pamba za sikio acheni kutufanya watoto[emoji23][emoji23][emoji3]
 
Back
Top Bottom