CCM inawatakia kila la heri kwenye mitihani yao wanafunzi wote wa darasa la 7

Halafu huu mtindo wa ofisi za umma kutengeneza Best wishes na congratulations fliers wakati Kuna kazi nyingi za kufanya ni ujinga tu. Huu mtindo umeshamiri sana tangu mwanzoni wa muhula wa pili wa mwendazake. Ni taswira ya kujipendekeza ili kuonekana uko concerned wakati ni kilaza tu
 
Sure
 
Wakimaliza huo mtihani waanze mchakato wa kujiunga UVCCM🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…