Tatizo la Tanzania ni watanzania (sisi) wenyeweTatizo HALISI la Tanzania ni vyombo vya ulinzi na usalama, polisi, usalama, jeshi n.k. Hao ndio wamesababisha nchi iwe na Matatizo yote haya. Kama hauna D 2 huwezi kuelewa.
Elezea kwa kina.Tatizo la Tanzania ni watanzania (sisi) wenyewe
Nakubaliana na wewe kwa 100%. Vyombo hivi ndiyo vinaibeba CCM na kuifanya isiwaheshimu wapiga kura. Kwa kawaida serikali yoyote inayotokana na wananchi inakuwa na nidhamu na heshima kwa wapiga kura wake kwani wanajua kuwa wasipowajibika wananchi watawaondoa madarakani kwenye sanduku la kura, tofauti na hapa kwetu ambapo utawala haupatikani kwa kupigiwa kura bali kwa mbinu chafu ambazo huwezeshwa na majeshi yetu.Leo hii CCM hata wakichukua sokwe mtu toka kule hifadhi ya Gombe waliweke kugombea urais litatangazwa kuwa limeshinda ushindi wa Tsunami na watu wakijaribu kupinga watapigwa, watatekwa na kuuwawa na majeshi yetu. Wenzetu wa Afrika Magharibi na Kaskazini majeshi yao yanapoona wanasiasa wanakuwa mwiba kwa wapiga kura wanaingilia kati, tofauti hapa kwetu makamanda wote wa vyombo vya ulinzi na usalama ni makada watiifu kwa CCM badala ya Taifa.Tatizo HALISI la Tanzania ni vyombo vya ulinzi na usalama, polisi, usalama, jeshi n.k. Hao ndio wamesababisha nchi iwe na Matatizo yote haya. Kama hauna D 2 huwezi kuelewa.
Tatizo ni jamii, hadi hapo watakopo rudishiwa akiliKwanza kabisa mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CCM wala chama chochote hapa Tanzania.
Binafsi kwa mtizamo wangu na kwa kutazama jamii nzima iliyo nizunguka nakiri CCM inaweza isiwe tatizo pekee hapa nchini.
Sisemi kuwa CCM bora hapana bali tuondoe matumaini makubwa kuwa siku CCM ikitoka tutapata mabadiliko na maendeleo makubwa.
Ukitazama majirani wote walio tuzunguka hatutofaitiana matatizo na hali zetu kabisa wote tunaelekeana pamoja ya kwamba baadhi ya majirani wamebadili vyama na vyama lakini hali bado siyo.
Ukitaka kuthibitisha pia hili jaribu kufanya kazi au kwa yoyote yule aliyewahi kufanya kazi na wazungu, wachina, wajapan hata wahindi naamini kuna vitu vya tofauti kagundua kati yetu na wao katika mambo kadhaa.
Ukitaka kuelewa zaidi soma historia ya mataifa yaliyo pachikwa jina la four tigers kwa nini ilikuwa rahisi watu wa ukanda kufanana katika mchakato wa maendeleo ?
Tuna tatizo kubwa zaidi ya CCM tofauti na tunavyo fikiri.
Zambia inanisikitisha na kuninyong'onyesha kwa yanayo endelea.
Pia soma
- Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Twende Mbele turudi nyuma, umasikini ndio mtaji mkuu wa CCM
Sawa tuondokane na CCM kwanza.Kwanza kabisa mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CCM wala chama chochote hapa Tanzania.
Binafsi kwa mtizamo wangu na kwa kutazama jamii nzima iliyo nizunguka nakiri CCM inaweza isiwe tatizo pekee hapa nchini.
Sisemi kuwa CCM bora hapana bali tuondoe matumaini makubwa kuwa siku CCM ikitoka tutapata mabadiliko na maendeleo makubwa.
Ukitazama majirani wote walio tuzunguka hatutofaitiana matatizo na hali zetu kabisa wote tunaelekeana pamoja ya kwamba baadhi ya majirani wamebadili vyama na vyama lakini hali bado siyo.
Ukitaka kuthibitisha pia hili jaribu kufanya kazi au kwa yoyote yule aliyewahi kufanya kazi na wazungu, wachina, wajapan hata wahindi naamini kuna vitu vya tofauti kagundua kati yetu na wao katika mambo kadhaa.
Ukitaka kuelewa zaidi soma historia ya mataifa yaliyo pachikwa jina la four tigers kwa nini ilikuwa rahisi watu wa ukanda kufanana katika mchakato wa maendeleo ?
Tuna tatizo kubwa zaidi ya CCM tofauti na tunavyo fikiri.
Zambia inanisikitisha na kuninyong'onyesha kwa yanayo endelea.
Pia soma
- Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Twende Mbele turudi nyuma, umasikini ndio mtaji mkuu wa CCM
Upo sahihi, chanzo HALISI cha Matatizo ya nchi yetu ni vyombo vya ulinzi na usalama. Huu ndio ukweli.Nakubaliana na wewe kwa 100%. Vyombo hivi ndiyo vinaibeba CCM na kuifanya isiwaheshimu wapiga kura. Kwa kawaida serikali yoyote inayotokana na wananchi inakuwa na nidhamu na heshima kwa wapiga kura wake kwani wanajua kuwa wasipowajibika wananchi watawaondoa madarakani kwenye sanduku la kura, tofauti na hapa kwetu ambapo utawala haupatikani kwa kupigiwa kura bali kwa mbinu chafu ambazo huwezeshwa na majeshi yetu.Leo hii CCM hata wakichukua sokwe mtu toka kule hifadhi ya Gombe waliweke kugombea urais litatangazwa kuwa limeshinda ushindi wa Tsunami na watu wakijaribu kupinga watapigwa, watatekwa na kuuwawa na majeshi yetu. Wenzetu wa Afrika Magharibi na Kaskazini majeshi yao yanapoona wanasiasa wanakuwa mwiba kwa wapiga kura wanaingilia kati, tofauti hapa kwetu makamanda wote wa vyombo vya ulinzi na usalama ni makada watiifu kwa CCM badala ya Taifa.
Siyo kweli, swali fikirishi je serikali ni nani mwenye wajibu wa kuisimamia serikali ni nani, je mme nyamazishwa kama ni ndiyo mtaendelea kunyamaza ama kunyamazishwa hadi liniUpo sahihi, chanzo HALISI cha Matatizo ya nchi yetu ni vyombo vya ulinzi na usalama. Huu ndio ukweli.
Serikali ambayo ni halisi ni vyombo vya ulinzi na usalama (polisi, usalama, jeshi) hao wengine mnao wajua ni geresha za kisiasa tu mfano bunge la Tanzania wanafanya kitu gani ya maana, ni kundi la watu wanaolipwa mabilioni ya hela kufanya upuuzi. Serikali kuu ni rais pamoja na mawaziri, na hao mawaziri ambao ni chawa wa kufuata maagizo toka juu. Mahakama zetu na wao ni walewale kesi muhimu hasa za kiuchaguzi zinaendeshwa kisiasa kwa maagizo toka juu. Kiufupi serikali halisi ni vyombo vya ulinzi na usalama.Siyo kweli, swali fikirishi serikali ni nani mwenye wajibu wa kuisimamia serikali ni nani
Sawa gelesha anae waendekeza wawe geresha ni jamii yaani wewe, mimi na hao wengineSerikali ambayo ni halisi ni vyombo vya ulinzi na usalama (polisi, usalama, jeshi) hao wengine mnao wajua ni geresha za kisiasa tu mfano bunge la Tanzania wanafanya kitu gani ya maana, ni kundi la watu wanaolipwa mabilioni ya hela kufanya upuuzi. Serikali kuu ni rais pamoja na mawaziri, na hao mawaziri ambao ni chawa wa kufuata maagizo toka juu. Mahakama zetu na wao ni walewale kesi muhimu hasa za kiuchaguzi zinaendeshwa kisiasa kwa maagizo toka juu. Kiufupi serikali halisi ni vyombo vya ulinzi na usalama.
Kwa hiyo chanzo HALISI cha Matatizo ya nchi yetu ni vyombo vya ulinzi na usalama. Bila ya D 2 Huwezi kuelewa.
Siku ukiwa na D 2 utaelewa kwanini vyombo vya ulinzi na usalama ndio chanzo HALISI cha Matatizo ya nchi yetu.Sawa gelesha anae waendekeza wawe geresha ni jamii yaani wewe, mimi na hao wengine
Silence surrenders public responsibility, do you need D 2 to become silent or waken up, how long will you remain silent, nyie mmezoea kupokea kila kitu hata hizo D 2 mmekalilishwa, mtaziandika sana lakini hakuna kitakacho badilika, (action speaks louder than words), am not close minded either, soma kuhusu human herding and ostracism, utanishukuruSerikali ambayo ni halisi ni vyombo vya ulinzi na usalama (polisi, usalama, jeshi) hao wengine mnao wajua ni geresha za kisiasa tu mfano bunge la Tanzania wanafanya kitu gani ya maana, ni kundi la watu wanaolipwa mabilioni ya hela kufanya upuuzi. Serikali kuu ni rais pamoja na mawaziri, na hao mawaziri ambao ni chawa wa kufuata maagizo toka juu. Mahakama zetu na wao ni walewale kesi muhimu hasa za kiuchaguzi zinaendeshwa kisiasa kwa maagizo toka juu. Kiufupi serikali halisi ni vyombo vya ulinzi na usalama.
Kwa hiyo chanzo HALISI cha Matatizo ya nchi yetu ni vyombo vya ulinzi na usalama. Bila ya D 2 Huwezi kuelewa.
Wewe mbona bado hujaamka?Siku wananchi wakiamka kutoka usingizini kama walivyofanya Ngorongoro mambo yataenda sawa chap
Yaani uko usingizini unamuamsha aliye macho, eti unampigia kelele anaye ahirisho kufikiri, a.k.a kujizima dataWewe mbona bado hujaamka?
Tatizo ni baadhi ya watu walioko mle. Kuna watu wazuri waaminifu ila hawapati nafasi, wako tayari kumnunua mpinzani na kupewa cheo ili atumiwe lakini wazuri waaminifu walio CCM hunyimwa nafasi kabisa ili wasiwe tishio kwa wanaong'ang'ania mamlaka.Kwanza kabisa mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CCM wala chama chochote hapa Tanzania.
Binafsi kwa mtizamo wangu na kwa kutazama jamii nzima iliyo nizunguka nakiri CCM inaweza isiwe tatizo pekee hapa nchini.
Sisemi kuwa CCM bora hapana bali tuondoe matumaini makubwa kuwa siku CCM ikitoka tutapata mabadiliko na maendeleo makubwa.
Ukitazama majirani wote walio tuzunguka hatutofaitiana matatizo na hali zetu kabisa wote tunaelekeana pamoja ya kwamba baadhi ya majirani wamebadili vyama na vyama lakini hali bado siyo.
Ukitaka kuthibitisha pia hili jaribu kufanya kazi au kwa yoyote yule aliyewahi kufanya kazi na wazungu, wachina, wajapan hata wahindi naamini kuna vitu vya tofauti kagundua kati yetu na wao katika mambo kadhaa.
Ukitaka kuelewa zaidi soma historia ya mataifa yaliyo pachikwa jina la four tigers kwa nini ilikuwa rahisi watu wa ukanda kufanana katika mchakato wa maendeleo ?
Tuna tatizo kubwa zaidi ya CCM tofauti na tunavyo fikiri.
Zambia inanisikitisha na kuninyong'onyesha kwa yanayo endelea.
Pia soma
- Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Twende Mbele turudi nyuma, umasikini ndio mtaji mkuu wa CCM
Wataendelea kunyamaza hadi lini?, Yaani wata nyang'anywa tonge mdomoni hadi liniTatizo ni baadhi ya watu walioko mle. Kuna watu wazuri waaminifu ila hawapati nafasi, wako tayari kumnunua mpinzani na kupewa cheo ili atumiwe lakini wazuri waaminifu walio CCM hunyimwa nafasi kabisa ili wasiwe tishio kwa wanaong'ang'ania mamlaka.
Huna hatia kwa kusema ukweliPunguza unafiki na ujinga. Kwenye ujinga mnapenda Sana kujilinganisha na nchi zingine. Very stupid idiot
๐๐ฎ๐๐ฎKwanza kabisa mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CCM wala chama chochote hapa Tanzania.