sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Tatizo ni lipi au yapi, la kiuchumi au la kisiasa au yote?
Kubadirisha vyama kama Kenya au Zambia au Malawi hakujabadirisha sana maisha ya wananchi wake.Ni watu wale wale recycle bins.Wanao toa ahadi nyingi lakini wanashindwa kuzitekeleza.
Tatizo kubwa Africa ni Rushwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Zipo nchi kama Nigeriayna Libya zenye kuzalisha mafuta ghafi kwa wingi lakini wananchi wako taabani.
Tanzania nayo hatuoni muarobaini wa kumaliza rushwa kwa muda mfupi bila kuvunja haki za binadamu.
China,Korea Kusini wamefanikiwa kwa hilo kwa kutumia sheria kandamizi ya kuwanyonga,kuwafunga hata kuwafilisi wahujumu uchumi wakubwa bila kuwaonea haya.