Pre GE2025 CCM inaweza isiwe tatizo kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatizo ni lipi au yapi, la kiuchumi au la kisiasa au yote?
Kubadirisha vyama kama Kenya au Zambia au Malawi hakujabadirisha sana maisha ya wananchi wake.Ni watu wale wale recycle bins.Wanao toa ahadi nyingi lakini wanashindwa kuzitekeleza.
Tatizo kubwa Africa ni Rushwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Zipo nchi kama Nigeriayna Libya zenye kuzalisha mafuta ghafi kwa wingi lakini wananchi wako taabani.
Tanzania nayo hatuoni muarobaini wa kumaliza rushwa kwa muda mfupi bila kuvunja haki za binadamu.

China,Korea Kusini wamefanikiwa kwa hilo kwa kutumia sheria kandamizi ya kuwanyonga,kuwafunga hata kuwafilisi wahujumu uchumi wakubwa bila kuwaonea haya.
 
Tatizo la Tanzania ni watanzania (sisi) wenyewe
Elezea kwa kina.

Mimi hoja yangu ni kuwa Tatizo HALISI la Tanzania ni vyombo vya ulinzi na usalama ndio wanakwamisha mabadiliko.

Na wewe elezea watanzania tunahusikaje?
 
Tatizo HALISI la Tanzania ni vyombo vya ulinzi na usalama, polisi, usalama, jeshi n.k. Hao ndio wamesababisha nchi iwe na Matatizo yote haya. Kama hauna D 2 huwezi kuelewa.
Nakubaliana na wewe kwa 100%. Vyombo hivi ndiyo vinaibeba CCM na kuifanya isiwaheshimu wapiga kura. Kwa kawaida serikali yoyote inayotokana na wananchi inakuwa na nidhamu na heshima kwa wapiga kura wake kwani wanajua kuwa wasipowajibika wananchi watawaondoa madarakani kwenye sanduku la kura, tofauti na hapa kwetu ambapo utawala haupatikani kwa kupigiwa kura bali kwa mbinu chafu ambazo huwezeshwa na majeshi yetu.Leo hii CCM hata wakichukua sokwe mtu toka kule hifadhi ya Gombe waliweke kugombea urais litatangazwa kuwa limeshinda ushindi wa Tsunami na watu wakijaribu kupinga watapigwa, watatekwa na kuuwawa na majeshi yetu. Wenzetu wa Afrika Magharibi na Kaskazini majeshi yao yanapoona wanasiasa wanakuwa mwiba kwa wapiga kura wanaingilia kati, tofauti hapa kwetu makamanda wote wa vyombo vya ulinzi na usalama ni makada watiifu kwa CCM badala ya Taifa.
 
Kwanza kabisa mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CCM wala chama chochote hapa Tanzania.

Binafsi kwa mtizamo wangu na kwa kutazama jamii nzima iliyo nizunguka nakiri CCM inaweza isiwe tatizo pekee hapa nchini.

Sisemi kuwa CCM bora hapana bali tuondoe matumaini makubwa kuwa siku CCM ikitoka tutapata mabadiliko na maendeleo makubwa.

Ukitazama majirani wote walio tuzunguka hatutofaitiana matatizo na hali zetu kabisa wote tunaelekeana pamoja ya kwamba baadhi ya majirani wamebadili vyama na vyama lakini hali bado siyo.

Ukitaka kuthibitisha pia hili jaribu kufanya kazi au kwa yoyote yule aliyewahi kufanya kazi na wazungu, wachina, wajapan hata wahindi naamini kuna vitu vya tofauti kagundua kati yetu na wao katika mambo kadhaa.

Ukitaka kuelewa zaidi soma historia ya mataifa yaliyo pachikwa jina la four tigers kwa nini ilikuwa rahisi watu wa ukanda kufanana katika mchakato wa maendeleo ?

Tuna tatizo kubwa zaidi ya CCM tofauti na tunavyo fikiri.

Zambia inanisikitisha na kuninyong'onyesha kwa yanayo endelea.

Pia soma
- Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Twende Mbele turudi nyuma, umasikini ndio mtaji mkuu wa CCM
Tatizo ni jamii, hadi hapo watakopo rudishiwa akili
 
Sawa tuondokane na CCM kwanza.
 
Upo sahihi, chanzo HALISI cha Matatizo ya nchi yetu ni vyombo vya ulinzi na usalama. Huu ndio ukweli.
 
Siyo kweli, swali fikirishi je serikali ni nani mwenye wajibu wa kuisimamia serikali ni nani, je mme nyamazishwa kama ni ndiyo mtaendelea kunyamaza ama kunyamazishwa hadi lini
 
Siyo kweli, swali fikirishi serikali ni nani mwenye wajibu wa kuisimamia serikali ni nani
Serikali ambayo ni halisi ni vyombo vya ulinzi na usalama (polisi, usalama, jeshi) hao wengine mnao wajua ni geresha za kisiasa tu mfano bunge la Tanzania wanafanya kitu gani ya maana, ni kundi la watu wanaolipwa mabilioni ya hela kufanya upuuzi. Serikali kuu ni rais pamoja na mawaziri, na hao mawaziri ambao ni chawa wa kufuata maagizo toka juu. Mahakama zetu na wao ni walewale kesi muhimu hasa za kiuchaguzi zinaendeshwa kisiasa kwa maagizo toka juu. Kiufupi serikali halisi ni vyombo vya ulinzi na usalama.

Kwa hiyo chanzo HALISI cha Matatizo ya nchi yetu ni vyombo vya ulinzi na usalama. Bila ya D 2 Huwezi kuelewa.
 
Sawa gelesha anae waendekeza wawe geresha ni jamii yaani wewe, mimi na hao wengine
 
Mimi ni mwanaccm Tena Nina KADI ya electronic kabisa!

Lakini , CCM kama chama kimekiuka misingi yake ya kimaadili !ndio maana Kuna vurugu za kutosha zisizo na tija kwa taifa!
 
Serikali ambayo ni halisi ni vyombo vya ulinzi na usalama (polisi, usalama, jeshi) hao wengine mnao wajua ni geresha za kisiasa tu mfano bunge la Tanzania wanafanya kitu gani ya maana, ni kundi la watu wanaolipwa mabilioni ya hela kufanya upuuzi. Serikali kuu ni rais pamoja na mawaziri, na hao mawaziri ambao ni chawa wa kufuata maagizo toka juu. Mahakama zetu na wao ni walewale kesi muhimu hasa za kiuchaguzi zinaendeshwa kisiasa kwa maagizo toka juu. Kiufupi serikali halisi ni vyombo vya ulinzi na usalama.

Kwa hiyo chanzo HALISI cha Matatizo ya nchi yetu ni vyombo vya ulinzi na usalama. Bila ya D 2 Huwezi kuelewa.
Silence surrenders public responsibility, do you need D 2 to become silent or waken up, how long will you remain silent, nyie mmezoea kupokea kila kitu hata hizo D 2 mmekalilishwa, mtaziandika sana lakini hakuna kitakacho badilika, (action speaks louder than words), am not close minded either, soma kuhusu human herding and ostracism, utanishukuru
 
Kwanza kabisa mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CCM wala chama chochote hapa Tanzania.

Binafsi kwa mtizamo wangu na kwa kutazama jamii nzima iliyo nizunguka nakiri CCM inaweza isiwe tatizo pekee hapa nchini.

Sisemi kuwa CCM bora hapana bali tuondoe matumaini makubwa kuwa siku CCM ikitoka tutapata mabadiliko na maendeleo makubwa.

Ukitazama majirani wote walio tuzunguka hatutofaitiana matatizo na hali zetu kabisa wote tunaelekeana pamoja ya kwamba baadhi ya majirani wamebadili vyama na vyama lakini hali bado siyo.

Ukitaka kuthibitisha pia hili jaribu kufanya kazi au kwa yoyote yule aliyewahi kufanya kazi na wazungu, wachina, wajapan hata wahindi naamini kuna vitu vya tofauti kagundua kati yetu na wao katika mambo kadhaa.

Ukitaka kuelewa zaidi soma historia ya mataifa yaliyo pachikwa jina la four tigers kwa nini ilikuwa rahisi watu wa ukanda kufanana katika mchakato wa maendeleo ?

Tuna tatizo kubwa zaidi ya CCM tofauti na tunavyo fikiri.

Zambia inanisikitisha na kuninyong'onyesha kwa yanayo endelea.

Pia soma
- Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Twende Mbele turudi nyuma, umasikini ndio mtaji mkuu wa CCM
Tatizo ni baadhi ya watu walioko mle. Kuna watu wazuri waaminifu ila hawapati nafasi, wako tayari kumnunua mpinzani na kupewa cheo ili atumiwe lakini wazuri waaminifu walio CCM hunyimwa nafasi kabisa ili wasiwe tishio kwa wanaong'ang'ania mamlaka.
 
Wataendelea kunyamaza hadi lini?, Yaani wata nyang'anywa tonge mdomoni hadi lini
 
Kwanza kabisa mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CCM wala chama chochote hapa Tanzania.

Binafsi kwa mtizamo wangu na kwa kutazama jamii nzima iliyo nizunguka nakiri CCM inaweza isiwe tatizo pekee hapa nchini.

Sisemi kuwa CCM bora hapana bali tuondoe matumaini makubwa kuwa siku CCM ikitoka tutapata mabadiliko na maendeleo makubwa.

Ukitazama majirani wote walio tuzunguka hatutofaitiana matatizo na hali zetu kabisa wote tunaelekeana pamoja ya kwamba baadhi ya majirani wamebadili vyama na vyama lakini hali bado siyo.

Ukitaka kuthibitisha pia hili jaribu kufanya kazi au kwa yoyote yule aliyewahi kufanya kazi na wazungu, wachina, wajapan hata wahindi naamini kuna vitu vya tofauti kagundua kati yetu na wao katika mambo kadhaa.

Ukitaka kuelewa zaidi soma historia ya mataifa yaliyo pachikwa jina la four tigers kwa nini ilikuwa rahisi watu wa ukanda kufanana katika mchakato wa maendeleo ?

Tuna tatizo kubwa zaidi ya CCM tofauti na tunavyo fikiri.

Zambia inanisikitisha na kuninyong'onyesha kwa yanayo endelea.

Pia soma
- Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Twende Mbele turudi nyuma, umasikini ndio mtaji mkuu wa CCM
🗑🚮🗑🚮
Kwa hiyo chawa Lucas umeona uje kivingine kwa I'd tofauti siyo?!!
 
Yule ni Marketing manager,na wewe ndiye boss wake. Baada ya mitano ndio utajua aendelee au lah!
 
Back
Top Bottom