mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Laiti mngekuwa na hekima hata kidoogo kabisa, mlipaswa mnyamaze kabisaa hata uongozi wenu uiishe tuu ili tujue moja kwamba, tunapaswa Tuishi nanyi kwa kukwepana sana ili tunusuru uhai wetu
Mnaisemea Rwanda eti haina Amani, Nchi ndoogo kama mji wa Dar-es-salaam
Nchi ambayo GDP yake inaelekea kuipiku Tanzania nchi yangu nzuuri iliyobarikiwa sana na Muumba wetu?
Tunajilaumu sana Watanzania, kwa kuiamini CCM ambayo kila leo uchumi wetu unadidimia na kufa!
Chini ya CCM watu wanakufa na uchumi unakufa, yaani kila kitu kinakufa
CCM imewatengeneza Watanzania kuwa mafukara na masikini wa kutupwa
Uchumi wa nchi yetu umehodhiwa na maccm wachache
Kama Rwanda haina Amani na uchumi wake unaelekea kuupita wa kwetu, ni heri basi tuikose hiyo Amani ili walau tuwe na uchumi mzuri
Ni nani atawaamini tena nyinyi, nani atawasikiliza nyinyi?
😢