and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Kutokana na yanayoendelea kwenye jamii, ingefaa Chama kitoke hadharani na kuomba msamaha kwa uchafu uliotendeka uchaguzi 2020.
1. Kukataliwa fomu za wagombea wa baadhi ya vyama (huku wagombea wa CCM kupita bila kupingwa).
2. Kuzima internet kwa siku kadhaa.
3. Kunyang'anywa vifaa kazi (laptops/computers) vya Legal and Human Rights Centre
Baadhi ya matamko ya viongozi kuashiria waliingilia mchakato wa chaguzi za nyuma soma hapa;
~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
~ Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!