Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kabisa ni bora hayo mamia ya mabilioni yaliyotengwa kwa ajili ya maigizo ya kile kinachoitwa chaguzi yaelekezwe kwenye huduma za afya na elimu. CCM imeshairudisha nchi wenye mfumo wa chama kimoja basi waendelee tu kutawala hadi nchi itakapopigwa mnada ndiyo Watanganyika fahamu zitawarudia na kudai uhuru toka mkoloni mweusi CCM.Kumbe hakuna haja ya uchaguzi hela hizo zilizokuwa zimetengwa kwa ajili hiyo kila mtu apewe fungu lake maisha yaendelee hadi jamii itakapo rudishiwa akili zake, yaani hadi jamii itakapo kubwa na uwezo wa kubuni mbinu zinaweza kutatua matatizo yao, (uncertainty is catalyzed by people deliberately or without their knowledge)
Nikweli hakuna haja ya kulumbana na wenye matonge mdomoni wananchi wakipata ufahamu watachukua hatua vinginevyo utekaji na watu wasiojulikana wataendelea kuwepo bila kujulikana, kwasasa watu wengi mafuvu yameanza kufanya kazi binadamu akipata changamoto kubwa huamsha ubongoUko sahihi kabisa ni bora hayo mamia ya mabilioni yaliyotengwa kwa ajili ya maigizo ya kile kinachoitwa chaguzi yaelekezwe kwenye huduma za afya na elimu. CCM imeshairudisha nchi wenye mfumo wa chama kimoja basi waendelee tu kutawala hadi nchi itakapopigwa mnada ndiyo Watanganyika fahamu zitawarudia na kudai uhuru toka mkoloni mweusi CCM.
Haikuishia hapo baadhi ya wagombea wa upinzani walitekwa njiani wakiwa na fomu zao ili wasifike kwenye destination na waliofanikiwa kufika wakakuta milango imefungwa kabla hata ya muda wa kisheria.Kutokana na yanayoendelea kwenye jamii, ingefaa Chama kitoke hadharani na kuomba msamaha kwa uchafu uliotendeka uchaguzi 2020.
1. Kukataliwa fomu za wagombea wa baadhi ya vyama (huku wagombea wa CCM kupita bila kupingwa).
2. Kuzima internet kwa siku kadhaa.
3. Kunyang'anywa vifaa kazi (laptops/computers) vya Legal and Human Rights Centre
View attachment 3084657
Tutolee ujinga wako hapa haya ndio mambo mliyoyafanya kama chama kivipi msiwajibike?ni muhimu na ni vizuri zaidi mambo ya mtu binafsi yasihusishwe na chama chochote cha kisiasa.
ni vema kuwajibika mwenyewe kibinafsi dhidi ya kauli, matamshi, maoni na mtazamo wako juu ya chaguzi mbalimbali zilizopita na zijazo, lakini pia na mambo mengine ya kisiasa, kijamii au kiuchumi...
ni muhimu zaidi kufanya hivyo, bila kuathiri jitihada kubwa na za makusudi za Dr.Samia Suluhu Hassan,
lakini pia dhamira ya dhati na nia Njema sana ya Dr.samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha taifa na kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu..
Mungu ibariki Tanzania 🐒
Kuna fununu kuwa hata "lucifer" ana mpango wa kutubu na kutuomba msamahaKutokana na yanayoendelea kwenye jamii, ingefaa Chama kitoke hadharani na kuomba msamaha kwa uchafu uliotendeka uchaguzi 2020.
Kutokana na yanayoendelea kwenye jamii, ingefaa Chama kitoke hadharani na kuomba msamaha kwa uchafu uliotendeka uchaguzi 2020.
1. Kukataliwa fomu za wagombea wa baadhi ya vyama (huku wagombea wa CCM kupita bila kupingwa).
2. Kuzima internet kwa siku kadhaa.
3. Kunyang'anywa vifaa kazi (laptops/computers) vya Legal and Human Rights Centre
View attachment 3084657
Ccm bila ya vyombo vya dola na kuiba kura na kufanya hujuma haina uwezo hata wa 20%.ni muhimu na ni vizuri zaidi mambo ya mtu binafsi yasihusishwe na chama chochote cha kisiasa.
ni vema kuwajibika mwenyewe kibinafsi dhidi ya kauli, matamshi, maoni na mtazamo wako juu ya chaguzi mbalimbali zilizopita na zijazo, lakini pia na mambo mengine ya kisiasa, kijamii au kiuchumi...
ni muhimu zaidi kufanya hivyo, bila kuathiri jitihada kubwa na za makusudi za Dr.Samia Suluhu Hassan,
lakini pia dhamira ya dhati na nia Njema sana ya Dr.samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha taifa na kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu..
Mungu ibariki Tanzania 🐒
Kuomba radhi kwa ubaya kwa mwingine si rahisi kwa asiye na hofu ya Mungu.Kutokana na yanayoendelea kwenye jamii, ingefaa Chama kitoke hadharani na kuomba msamaha kwa uchafu uliotendeka uchaguzi 2020.
1. Kukataliwa fomu za wagombea wa baadhi ya vyama (huku wagombea wa CCM kupita bila kupingwa).
2. Kuzima internet kwa siku kadhaa.
3. Kunyang'anywa vifaa kazi (laptops/computers) vya Legal and Human Rights Centre
View attachment 3084657
Kabisa, yaani kujiandaa kushiriki uchaguzi ambao mazingira ni yaleyale, huku ukitegemea matokeo tofauti, huo ni ujinga kama ujinga mwingine.Kama kuna mtu mwingine anajiandaa kwa upumbaff kama ule wa 2019/2020 aendelee hivyohivyo. Kwa sababu hakuna wa kumfanya kitu chochote.
Jambo muhimu kwa sasa ni kutoa elimu kwa watanzania wote kwamba kuna Tanzania (wananchi) kwanza kabla ya CCM, CHADEMA, ACT, CUF, NICE,.... na serikali. Vyote hivyo hupita lakini Tanzania ambayo ni wananchi itabaki.Kabisa, yaani kujiandaa kushiriki uchaguzi ambao mazingira ni yaleyale, huku ukitegemea matokeo tofauti, huo ni ujinga kama ujinga mwingine.
NeverKutokana na yanayoendelea kwenye jamii, ingefaa Chama kitoke hadharani na kuomba msamaha kwa uchafu uliotendeka uchaguzi 2020.
1. Kukataliwa fomu za wagombea wa baadhi ya vyama (huku wagombea wa CCM kupita bila kupingwa).
2. Kuzima internet kwa siku kadhaa.
3. Kunyang'anywa vifaa kazi (laptops/computers) vya Legal and Human Rights Centre
Baadhi ya matamko ya viongozi kuashiria waliingilia mchakato wa chaguzi za nyuma soma hapa;
~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
~ Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
~ Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!