Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ilani ya nn ikiwa haya yanafanyika?
 
Uko sahihi kabisa ni bora hayo mamia ya mabilioni yaliyotengwa kwa ajili ya maigizo ya kile kinachoitwa chaguzi yaelekezwe kwenye huduma za afya na elimu. CCM imeshairudisha nchi wenye mfumo wa chama kimoja basi waendelee tu kutawala hadi nchi itakapopigwa mnada ndiyo Watanganyika fahamu zitawarudia na kudai uhuru toka mkoloni mweusi CCM.
 
Nikweli hakuna haja ya kulumbana na wenye matonge mdomoni wananchi wakipata ufahamu watachukua hatua vinginevyo utekaji na watu wasiojulikana wataendelea kuwepo bila kujulikana, kwasasa watu wengi mafuvu yameanza kufanya kazi binadamu akipata changamoto kubwa huamsha ubongo
 
Tayari kwenye uboreshaji wa daftari la mpiga kura kazi imekwisha malizwa. wapinzani mnaenda kusindikiza tu kwenye sanduku la mpiga kura.inaumiza sana. kudadeki
 
Haikuishia hapo baadhi ya wagombea wa upinzani walitekwa njiani wakiwa na fomu zao ili wasifike kwenye destination na waliofanikiwa kufika wakakuta milango imefungwa kabla hata ya muda wa kisheria.
 
Tutolee ujinga wako hapa haya ndio mambo mliyoyafanya kama chama kivipi msiwajibike?
 
 

Attachments

  • VID-20240902-WA0003.mp4
    1.2 MB
Ccm bila ya vyombo vya dola na kuiba kura na kufanya hujuma haina uwezo hata wa 20%.
 
Kuomba radhi kwa ubaya kwa mwingine si rahisi kwa asiye na hofu ya Mungu.
 
Inasikitisha Sana watu wataenda kupanga tena foleni toka alfajiri
 
Kama kuna mtu mwingine anajiandaa kwa upumbaff kama ule wa 2019/2020 aendelee hivyohivyo. Kwa sababu hakuna wa kumfanya kitu chochote.
Kabisa, yaani kujiandaa kushiriki uchaguzi ambao mazingira ni yaleyale, huku ukitegemea matokeo tofauti, huo ni ujinga kama ujinga mwingine.
 
Kabisa, yaani kujiandaa kushiriki uchaguzi ambao mazingira ni yaleyale, huku ukitegemea matokeo tofauti, huo ni ujinga kama ujinga mwingine.
Jambo muhimu kwa sasa ni kutoa elimu kwa watanzania wote kwamba kuna Tanzania (wananchi) kwanza kabla ya CCM, CHADEMA, ACT, CUF, NICE,.... na serikali. Vyote hivyo hupita lakini Tanzania ambayo ni wananchi itabaki.
Kwa hiyo, ukiwa mwanachama wa chama chochote, uwe mtumishi wa uma au chombo chochote cha dola na kiongozi, weka maslahi mapana ya Tanzania (wananchi wote) mbele badala ya maslahi yako binafsi au kundi lako.
Lazima katika makazi (mtaani) na sehemu za kazi (ofisini na mashambani), watanzania wajione ni ndugu na wenye haki sawa, za kuchagua na kuchaguliwa.
 
Never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…