GE2025 CCM ipende isipende, jimbo la Tarime Mjini linaenda upinzani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Kosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na aliyeongoza kwenye kura ya maoni Mhe. Kembaki jina lake limekatwa. Wananchi wa Tarime mjini wanauliza ni kigezo gani kilichofanya jina la Mhe. Kembaki kukatwa?.

Aliyeteuliwa ametokea upinzani hivi tu majuzi na Mhe. Kembaki na wananchi wa Tarime Mjini wamekijenga CCM kwa muda mrefu. Ni kigezo gani kilichomfanya Ndugu Matiko kuteuliwa?. Je ni urafiki huko juu au kuna nini. Wananchi wa Tarime Mjini wanaiomba CCM irudishe jina la Mhe. Kembaki vinginevyo Jimbo hili litaenda upinzani labda watumie mbinu wanayoijua wenyewe.

CHADEMA wamekosea sana kutoingia kwenye uchaguzi huu ujao vinginevyo nusu ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangetoka CHADEMA.

Niwaeleze wazi CCM Wananchi wa Tarime Mjini wana msimamo na hawayumbishwi na lolote.
 
Aliyeteuliwa ametokea upinzani hivi tu majuzi na Mhe. Kembaki na wananchi wa Tarime Mjini wamekijenga CCM kwa muda mrefu. Ni kigezo gani kilichomfanya Ndugu Matiko kuteuliwa?. Je ni urafiki huko juu au kuna nini. Wananchi wa Tarime Mjini wanaiomba CCM irudishe jina la Mhe. Kembaki vinginevyo Jimbo hili litaenda upinzani labda watumie mbinu wanayoijua wenyewe. CHADEMA wamekosea sana kutoingia kwenye uchaguzi huu ujao vinginevyo nusu ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangetoka CHADEMA. Niwaeleze wazi CCM Wananchi wa Tarime Mjini wana msimamo na hawayumbishwi na lolote.
Litaenda upinzani kwa Tume ipi na kupitia Chama kipi?
 
Mifumo mitatu iliyokuwa inasomana kwasasa imeumana hata mkimkataa mfumo utamkubali tu
 
Kosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na aliyeongoza kwenye kura ya maoni Mhe. Kembaki jina lake limekatwa. Wananchi wa Tarime mjini wanauliza ni kigezo gani kilichofanya jina la Mhe. Kembaki kukatwa?.

Aliyeteuliwa ametokea upinzani hivi tu majuzi na Mhe. Kembaki na wananchi wa Tarime Mjini wamekijenga CCM kwa muda mrefu. Ni kigezo gani kilichomfanya Ndugu Matiko kuteuliwa?. Je ni urafiki huko juu au kuna nini. Wananchi wa Tarime Mjini wanaiomba CCM irudishe jina la Mhe. Kembaki vinginevyo Jimbo hili litaenda upinzani labda watumie mbinu wanayoijua wenyewe. CHADEMA wamekosea sana kutoingia kwenye uchaguzi huu ujao vinginevyo nusu ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangetoka CHADEMA. Niwaeleze wazi CCM Wananchi wa Tarime Mjini wana msimamo na hawayumbishwi na lolote.
Mpinzani atawekewa pingamizi la kutokujua "kusoma na kuandika" au fomu yake kutokupokelewa wakati wa kuirudisha.
Matiko ni mbunge wao mtarajiwa
 
Kosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na aliyeongoza kwenye kura ya maoni Mhe. Kembaki jina lake limekatwa. Wananchi wa Tarime mjini wanauliza ni kigezo gani kilichofanya jina la Mhe. Kembaki kukatwa?.

Aliyeteuliwa ametokea upinzani hivi tu majuzi na Mhe. Kembaki na wananchi wa Tarime Mjini wamekijenga CCM kwa muda mrefu. Ni kigezo gani kilichomfanya Ndugu Matiko kuteuliwa?. Je ni urafiki huko juu au kuna nini. Wananchi wa Tarime Mjini wanaiomba CCM irudishe jina la Mhe. Kembaki vinginevyo Jimbo hili litaenda upinzani labda watumie mbinu wanayoijua wenyewe. CHADEMA wamekosea sana kutoingia kwenye uchaguzi huu ujao vinginevyo nusu ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangetoka CHADEMA. Niwaeleze wazi CCM Wananchi wa Tarime Mjini wana msimamo na hawayumbishwi na lolote.
Acha kudangaya watu,kembaki hawezi kumshinda ester matiko hapo tarime mjinii,,,,,,kembaki ana sera gani ambaye hata hajawahii kuongea bungenii
 
CDM itashiriki uchaguzi baada ya kufanyika reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya.
 
Kosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na aliyeongoza kwenye kura ya maoni Mhe. Kembaki jina lake limekatwa. Wananchi wa Tarime mjini wanauliza ni kigezo gani kilichofanya jina la Mhe. Kembaki kukatwa?.

Aliyeteuliwa ametokea upinzani hivi tu majuzi na Mhe. Kembaki na wananchi wa Tarime Mjini wamekijenga CCM kwa muda mrefu. Ni kigezo gani kilichomfanya Ndugu Matiko kuteuliwa?. Je ni urafiki huko juu au kuna nini. Wananchi wa Tarime Mjini wanaiomba CCM irudishe jina la Mhe. Kembaki vinginevyo Jimbo hili litaenda upinzani labda watumie mbinu wanayoijua wenyewe.

CHADEMA wamekosea sana kutoingia kwenye uchaguzi huu ujao vinginevyo nusu ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangetoka CHADEMA.

Niwaeleze wazi CCM Wananchi wa Tarime Mjini wana msimamo na hawayumbishwi na lolote.
Hiyo haikufanyika kwa bahati mbaya, hilo jimbo wamewatengea vyama shikizi vyao ili kuihadaa dunia kuwa kuna upinzani, Esther Matiko na Esther Bulaya wameuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Kosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na aliyeongoza kwenye kura ya maoni Mhe. Kembaki jina lake limekatwa. Wananchi wa Tarime mjini wanauliza ni kigezo gani kilichofanya jina la Mhe. Kembaki kukatwa?.

Aliyeteuliwa ametokea upinzani hivi tu majuzi na Mhe. Kembaki na wananchi wa Tarime Mjini wamekijenga CCM kwa muda mrefu. Ni kigezo gani kilichomfanya Ndugu Matiko kuteuliwa?. Je ni urafiki huko juu au kuna nini. Wananchi wa Tarime Mjini wanaiomba CCM irudishe jina la Mhe. Kembaki vinginevyo Jimbo hili litaenda upinzani labda watumie mbinu wanayoijua wenyewe.

CHADEMA wamekosea sana kutoingia kwenye uchaguzi huu ujao vinginevyo nusu ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangetoka CHADEMA.

Niwaeleze wazi CCM Wananchi wa Tarime Mjini wana msimamo na hawayumbishwi na lolote.
NYIE VINMBENI KICHWA TU UZURI NI KUWA HATUHITAJI HATA KURA ZENU UCHAGUZI TUSHAALIZA TUNASUBIRI KUTANGAZWAKWA WABUNGE TU SHAURI YENU NYIE MNAOSUBIRI KUMCHAGUA MPINZANI
 
Kosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na aliyeongoza kwenye kura ya maoni Mhe. Kembaki jina lake limekatwa. Wananchi wa Tarime mjini wanauliza ni kigezo gani kilichofanya jina la Mhe. Kembaki kukatwa?.

Aliyeteuliwa ametokea upinzani hivi tu majuzi na Mhe. Kembaki na wananchi wa Tarime Mjini wamekijenga CCM kwa muda mrefu. Ni kigezo gani kilichomfanya Ndugu Matiko kuteuliwa?. Je ni urafiki huko juu au kuna nini. Wananchi wa Tarime Mjini wanaiomba CCM irudishe jina la Mhe. Kembaki vinginevyo Jimbo hili litaenda upinzani labda watumie mbinu wanayoijua wenyewe.

CHADEMA wamekosea sana kutoingia kwenye uchaguzi huu ujao vinginevyo nusu ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangetoka CHADEMA.

Niwaeleze wazi CCM Wananchi wa Tarime Mjini wana msimamo na hawayumbishwi na lolote.
Yaani cdm wangeshinda kwakuwa ccm wameumizana? Cdm hawahitaji kushiriki kwenye uchaguzi wa kihuni eti wapate viti kwakuwa ccm wamehitilafiana. Tunataka uchaguzi wa haki tushinde kwa ridhaa ya wananchi, na sio kushinda kutokana na migogoro ya vyama vingine.
 
Back
Top Bottom