Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Upinzani upi? Chauma?
Nyumbu,huwa mwasema.mwsibiwa kura,saaa vipi mtashinda na kura mnaibiwa,nyumbu kweli kichwani ni zirobrain.Kosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na aliyeongoza kwenye kura ya maoni Mhe. Kembaki jina lake limekatwa. Wananchi wa Tarime mjini wanauliza ni kigezo gani kilichofanya jina la Mhe. Kembaki kukatwa?.
Aliyeteuliwa ametokea upinzani hivi tu majuzi na Mhe. Kembaki na wananchi wa Tarime Mjini wamekijenga CCM kwa muda mrefu. Ni kigezo gani kilichomfanya Ndugu Matiko kuteuliwa?. Je ni urafiki huko juu au kuna nini. Wananchi wa Tarime Mjini wanaiomba CCM irudishe jina la Mhe. Kembaki vinginevyo Jimbo hili litaenda upinzani labda watumie mbinu wanayoijua wenyewe.
CHADEMA wamekosea sana kutoingia kwenye uchaguzi huu ujao vinginevyo nusu ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangetoka CHADEMA.
Niwaeleze wazi CCM Wananchi wa Tarime Mjini wana msimamo na hawayumbishwi na lolote.
NyumbuUpinzani upi? Chauma?
Chacha....chacha....marwa,,,marwa, wambura..wambura, wabiro..wabirooKosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na aliyeongoza kwenye kura ya maoni Mhe. Kembaki jina lake limekatwa. Wananchi wa Tarime mjini wanauliza ni kigezo gani kilichofanya jina la Mhe. Kembaki kukatwa?.
Aliyeteuliwa ametokea upinzani hivi tu majuzi na Mhe. Kembaki na wananchi wa Tarime Mjini wamekijenga CCM kwa muda mrefu. Ni kigezo gani kilichomfanya Ndugu Matiko kuteuliwa?. Je ni urafiki huko juu au kuna nini. Wananchi wa Tarime Mjini wanaiomba CCM irudishe jina la Mhe. Kembaki vinginevyo Jimbo hili litaenda upinzani labda watumie mbinu wanayoijua wenyewe.
CHADEMA wamekosea sana kutoingia kwenye uchaguzi huu ujao vinginevyo nusu ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangetoka CHADEMA.
Niwaeleze wazi CCM Wananchi wa Tarime Mjini wana msimamo na hawayumbishwi na lolote.
Unaweweseka mchana wewe, upinzani kuna chama gani cha kuwashinda ccm? Kama upinzani wana uwezo wa kushinda kwanini chadema wamesusa?Kosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na aliyeongoza kwenye kura ya maoni Mhe. Kembaki jina lake limekatwa. Wananchi wa Tarime mjini wanauliza ni kigezo gani kilichofanya jina la Mhe. Kembaki kukatwa?.
Aliyeteuliwa ametokea upinzani hivi tu majuzi na Mhe. Kembaki na wananchi wa Tarime Mjini wamekijenga CCM kwa muda mrefu. Ni kigezo gani kilichomfanya Ndugu Matiko kuteuliwa?. Je ni urafiki huko juu au kuna nini. Wananchi wa Tarime Mjini wanaiomba CCM irudishe jina la Mhe. Kembaki vinginevyo Jimbo hili litaenda upinzani labda watumie mbinu wanayoijua wenyewe.
CHADEMA wamekosea sana kutoingia kwenye uchaguzi huu ujao vinginevyo nusu ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangetoka CHADEMA.
Niwaeleze wazi CCM Wananchi wa Tarime Mjini wana msimamo na hawayumbishwi na lolote.
Pambaneni tu na hali zenu mtafanikiwa.wengine tupo huku mbaliKosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na aliyeongoza kwenye kura ya maoni Mhe. Kembaki jina lake limekatwa. Wananchi wa Tarime mjini wanauliza ni kigezo gani kilichofanya jina la Mhe. Kembaki kukatwa?.
Aliyeteuliwa ametokea upinzani hivi tu majuzi na Mhe. Kembaki na wananchi wa Tarime Mjini wamekijenga CCM kwa muda mrefu. Ni kigezo gani kilichomfanya Ndugu Matiko kuteuliwa?. Je ni urafiki huko juu au kuna nini. Wananchi wa Tarime Mjini wanaiomba CCM irudishe jina la Mhe. Kembaki vinginevyo Jimbo hili litaenda upinzani labda watumie mbinu wanayoijua wenyewe.
CHADEMA wamekosea sana kutoingia kwenye uchaguzi huu ujao vinginevyo nusu ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wangetoka CHADEMA.
Niwaeleze wazi CCM Wananchi wa Tarime Mjini wana msimamo na hawayumbishwi na lolote.
Kwa tume ipi! Hilo la hilo jimbo kwenda upinzani ni mpango mkakatiKosa kubwa lililofanywa na Mamlaka ya uteuzi ni kumteua Ndugu Matiko kupeperusha bendera ya CCM kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Mbunge aliyemaliza muda wake, kipenzi cha wanaTarime mjini na aliyeongoza kwenye kura ya maoni Mhe. Kembaki jina lake limekatwa. Wananchi wa Tarime mjini wanauliza ni kigezo gani kilichofanya jina la Mhe. Kembaki kukatwa?.