GE2025 CCM ipende isipende, jimbo la Tarime Mjini linaenda upinzani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyumbu,huwa mwasema.mwsibiwa kura,saaa vipi mtashinda na kura mnaibiwa,nyumbu kweli kichwani ni zirobrain.
 
Chacha....chacha....marwa,,,marwa, wambura..wambura, wabiro..wabiroo

Isee jamaa WAKURYA nipo palee hawakawii kutoana Roho
 
Uzuri n kwamba Hao wapinzan ata sanduku la kura hawajuhi linapatkana kvp
Kwahy pigen kelele mwisho mkapumzike ccm inazo mbinu nyingi za kupata viongozi
 
Unaweweseka mchana wewe, upinzani kuna chama gani cha kuwashinda ccm? Kama upinzani wana uwezo wa kushinda kwanini chadema wamesusa?
 
Pambaneni tu na hali zenu mtafanikiwa.wengine tupo huku mbali
 
Kwa tume ipi! Hilo la hilo jimbo kwenda upinzani ni mpango mkakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…