Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Majina ya mmoja wao atakaye teuliwa kuwa katibu mwenezi yametangazwa lakini laa! Orodha iliyotolewa inasikitisha sana kwani haifsnani na CCM tuijuayo, hii imepwaya haina wanasiasa.
Bila kuwa mwanasiasa hakuna atakachokieleza kwenye uenezi wake, ukweli lazima usemwe kati yao hakuna hata mmoja anafaa zaidi ya kadi zao za uanachama kufaa nako kwa mashaka.
Naishauri CCM chini ya 4R's ikope mtu toka ACTW au Chadema ambako wapo watu wazuri sana na waaminifu kama akina Kitila na wengine, ninaamini vyama hivyo vitakuwa tayari kuwapa mtu wa viwango vya juu.