Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Miaka mitano CCM iliangaika na wagombea na viongoz wa upinzani nakusau kwamba uchaguzi unategemea kura za wananchi kuliko kura za viongozi.
Baada ya miaka mitano Leo majimboni kumedoda hakuna kipeperushi wa hamasa ya kampeni na hata wale walionunuliwa nao nguvu ya kuzunguka kukinadi chama imekata, wameishiwa pumzi baada ya wajumbe kuwafanya vibaya. Walionunuliwa wote wametulia WAKISUBIRI wapatiwe ajira baada ya uchaguzi Kama walivyoahidiwa.
Njia pekee iliyobaki ni kiwalazimisha watumishi wa umma kwenda Kwenye mikutano na kufunga ofisi, sijui hii ndiyo kazi waliyoomba au nimatumizi mabaya ya madaraka.
Kitabu Cha mahudhurio kazini kinaondokaje ofisini kinakwenda kwenye mikutano ya siasa?