Uchaguzi 2020 CCM isiwalamishe watumishi kwenda Kwenye mkutano ya kampeni, ilaumu muda waliotumia kununua wagombea wakawasau wapiga kura

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Miaka mitano CCM iliangaika na wagombea na viongoz wa upinzani nakusau kwamba uchaguzi unategemea kura za wananchi kuliko kura za viongozi.

Baada ya miaka mitano Leo majimboni kumedoda hakuna kipeperushi wa hamasa ya kampeni na hata wale walionunuliwa nao nguvu ya kuzunguka kukinadi chama imekata, wameishiwa pumzi baada ya wajumbe kuwafanya vibaya. Walionunuliwa wote wametulia WAKISUBIRI wapatiwe ajira baada ya uchaguzi Kama walivyoahidiwa.

Njia pekee iliyobaki ni kiwalazimisha watumishi wa umma kwenda Kwenye mikutano na kufunga ofisi, sijui hii ndiyo kazi waliyoomba au nimatumizi mabaya ya madaraka.

Kitabu Cha mahudhurio kazini kinaondokaje ofisini kinakwenda kwenye mikutano ya siasa?
 
Jamaa Alijua Uchaguzi ni kama kuteleza kwa cheupe pale Kisarawe, Unaona hadi yule Mama muuza sura naye Ameanza kuongea pumba eti askari wao wa CCM huwa wanapiga risasi 3 tu na kuua
 
Wamesahau watumishi wa umma walio tia Nia kugombea kupitia ccm walipewa likizo ya miezi miwili bila likizo?
 
Jamaa Alijua Uchaguzi ni kama kuteleza kwa cheupe pale Kisarawe, Unaona hadi yule Mama muuza sura naye Ameanza kuongea pumba eti askari wao wa CCM huwa wanapiga risasi 3 tu na kuua
Lakini ni aibu. Sikutegemea kusikia neno ovu vile kutoka kwenye kinywa kama cha mama Samia. Hadi sasa sija amini kama yale maneno yame toka kinywani mwake..
 
Uchaguzi unawachanganya, yule Mama ana hofu hadi kaongea ushenzi
 
Back
Top Bottom