CCM itabaki kuwa mwamba wa siasa za Tanzania, Africa na duniani kote kwa muda mrefu sana ujao

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Na huenda miongoni mwa sababu kubwa zinayoifanya CCM kua imara, bora mwamba wa siasa za africa na duniani kote kila siku, ni uzoefu wake wa kimkakati na mchango wake mkubwa sana wa kisiasa, kijamii na kiuchumi katika ukombozi wa nchi nyingi sana za Africa na bara la Africa kwa ujumla.

Siasa za kimkakati za CCM zimefanya ndani ya Tanzania pasiwepo kabisa na dalili za kuwepo kwa chama cha siasa mbadala wa CCM.

Mapenzi ya dhati ya wananchi kwa CCM, ndoto, matamanio pamoja na matumaini ya waTanzania wote ni kuona CCM ikiendelea kutawa na kuongoza nchi, kulinda umoja amani na mshikamano miongoni mwa wananchi wote wa Tanzania.

Asante Mungu kwaajili ya CCM.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Hata mm ningekuwa namiliki jeshi la polisi, jeshi la wananchi, jeshi la magereza, jeshi la mgambo, mahakama, tiss, takururu na uhamiaji nisingeshikika. Ningetawala milele.
gentleman,
kwenye demokrasia ya vyama vingi,
vyama vya siasa vinaposhindana katika kutwaa dola, kuunda serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia wananchi na kuwaletea maendeleo,
chama kinachoshinda uchaguzi ndicho kinakua na dhamana na mihimili yote ya nchi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi. Na huo sio muujiza ndivyo ustaarabu wa kidemokrasia ulivyo duniani kote.
Chama tawala kinawajibika kutumia apparatus zote kuhakikisha kwamba wananchi wake wanapata wanachostahili.

so,
hujaeleza jambo jipya au geni, unless huna uelewa au ufahamu wa kutosha dhidi ya siasa za vyama vingi katika demokrasia.

but,
shukrani kwa maoni yako gentleman.
 
Dear gentleman.
Can u please re-read your nonsense?
 
Dear gentleman.
Can u please re-read your nonsense?
be more careful, relax and calm down gentleman, huku ukichota maarifa muhimu na kuongeza maarifa na uelewa wa kisiasa na kuongeza ufahamu wako,
keep it up without useless mayhem, right?
 
Kama iko hivi kwanini wanaiba kura kufoji matokeo ya uchaguzi?
hizo ni imani potofu za kishirikina gentleman,
na daima ukiwaza kushindwa na kua na visingizio useless kama hivyo, utashindwa vibaya sana katika kila uchaguzi.

huna kura, hujashiriki uchaguzi
una ibiwaje kama sio changamoto ya kisaikolojia hiyo gentleman?
 
calm down gentleman,
ukweli una kera sana, i'm sory kueleza ukweli mchana kweupe

CCM ni mwamba wa mauaji. Hakuna serikali ya chama chochote Afrika iliyowahi kuua raia wake kwa maelfu, zaidi ya serikali ya CCM. Kwenye hili, kwa kweli CCM inaweza kubakia kwenye nafasi ya juu kuliko vyama vyote barani Afrika kwa miaka yote, na kisipatikane chama kingine chochote cha kuizidi. CCM imeweka alama ambayo kamwe haitafutika Duniani, kwamba ndiyo chama kilichowahi kufanya mauaji nakubwa ya kupindukia ili kuhakikisha kinabakia madarakani hata pale ambapo wananchi hawaitaki.
 
hizo ni imani potofu za kishirikina gentleman,
na daima ukiwaza kushindwa na kua na visingizio useless kama hivyo, utashindwa vibaya sana katika kila uchaguzi.

huna kura, hujashiriki uchaguzi
una ibiwaje kama sio changamoto ya kisaikolojia hiyo gentleman?
kachukue 7000 yako
 
kachukue 7000 yako
ni vema kubadili mindset kutoka kufikiria na kujiandaa kuibiwa hadi kuwin voters expectations,
otherwise utashindwa maisha, lakini pia daima na uchaguzi utashindwa vibaya sana kwasababu ya negativity sense.

epuka mihemko useless
 
CCM ni mwamba wa mauaji. Hakuna serikali ya chama chochote Afrika iliyowahi kuua raia wake kwa maelfu, zaidi ya serikali ya CCM. Kwenye hili, kwa kweli CCM inaweza kubakia kwenye nafasi ya juu kuliko vyama vyote barani Afrika kwa miaka yote, na kisipatikane chama kingine chochote cha kuizidi. CCM imeweka alama ambayo kamwe haitafutika Duniani, kwamba ndiyo chama kilichowahi kufanya mauaji nakubwa ya kupindukia ili kuhakikisha kinabakia madarakani hata pale ambapo wananchi hawaitaki.
Gentleman,
hizo porojo, uzushi na hisia nonsense kuhusu ccm ni vitu useless sana kwenye hoja hii nzito na muhimu sana kwa maendeleo ya kisiasa nchini.
Lakini pia uzushi huo kamwe hauwezi kufifisha mapenzi na uaminifu wa waTanzania kwa CCM, kwasababu hakuna kabisa dalili za kuwepo mbadala wa chama cha siasa mbadala wa CCM nchini.

so,
ni vizuri kurilax na kupunguza uzushi na mihemko nonsense jukwaani, right?
 
hizo ni imani potofu za kishirikina gentleman,
na daima ukiwaza kushindwa na kua na visingizio useless kama hivyo, utashindwa vibaya sana katika kila uchaguzi.

huna kura, hujashiriki uchaguzi
una ibiwaje kama sio changamoto ya kisaikolojia hiyo gentleman?
Hata Iddi Amin alikuwa hashindi uchaguzi kwa 98%, CCM mna laana mnatakiwa wote muwe jela
 
Na huenda miongoni mwa sababu kubwa zinayoifanya CCM kua imara, bora mwamba wa siasa za africa na duniani kote kila siku, ni uzoefu wake wa kimkakati na mchango wake mkubwa sana wa kisiasa, kijamii na kiuchumi katika ukombozi wa nchi nyingi sana za Africa na bara la Africa kwa ujumla.

Siasa za kimkakati za CCM zimefanya ndani ya Tanzania pasiwepo kabisa na dalili za kuwepo kwa chama cha siasa mbadala wa CCM.

Mapenzi ya dhati ya wananchi kwa CCM, ndoto, matamanio pamoja na matumaini ya waTanzania wote ni kuona CCM ikiendelea kutawa na kuongoza nchi, kulinda umoja amani na mshikamano miongoni mwa wananchi wote wa Tanzania.

Asante Mungu kwaajili ya CCM.

Mungu Ibariki Tanzania
Mwamba wa siasa au mwamba wa mauaji ya halaiki? CCM siasa hamuziwezi kabisa na hilo hata nyie wenyewe mnajijua. ndio maana kidogo tu mmeshakimbilia mitutu na risasi ,hakuna mjinga mwenzio hata mmoja hapa, siasa gani mnaziweza CCM zaidi ya kuteka na kuua kwa mbeleko ya vyombo vya ulinzi yani hamuwezi kabisa kujisimamia nyie wenyewe na siku vyombo vya ulizi vikiwaacha tu mmeisha vibaya?
 
Mkuu unalipwa kiasi gani cha Fedha kuisifia CCM ???
Inaonekana unavuta mkwanja mzito sana.

Mimi nipo tayari kuisifia CCM na Samuya MUAJI ukinijulisha malipo yako hata Pm mkuu.
 
Hata Iddi Amin alikuwa hashindi uchaguzi kwa 98%, CCM mna laana mnatakiwa wote muwe jela
wawapi huyo gentleman katika demokrasia Africa au duniani?
alikua anafanya uchaguzi wapi kwanza?
 
Back
Top Bottom